Brother hakuna kitu sipend kama kujibana bana. Mimi nyumban ndio mahala pangu pa starehe, siend club siend bar. Ni ofisin kanisani nyumban hizo ndio route zangu. Nyumban ndio mahala napata aman sana nikiwepo so sikupenda kupajenga kwa kujibana. Hapo sijakuwekea dimensions za Sitting room..
Kuna time wife alipata changamoto ya kiafya staff wenzake wakaja kumuona, wale nao sijui walifanya kusudi, walikua convoy ya watu 17 at once, halaf walivyo wanafik walipofika wakajifanya aahhh sis tutaishia hapa hapa nje tu tukae kwenye nyasi hatuingii ndani. Kichwan nikajua wana maana gan ,kwamba my home home isingeweza kuwa accomodate all of them at once, nikawa convince wakaingia, comfortably accomodated each one of them!! Wakaenda kuongelea mbele ya safar hukooo 😂.
So mkuu, mimi nyumban ni mahala pangu patakatifu sana sina pengine pa kujiliwaza.
Nb
- sipendi uchafu nyumban
- sipend mipangilio mibovu nyumban.
- llimchukua muda sana wife kunipata na kuendana na mimi kwenye hiz ishu 2 hapo juu