Sikutegemea kama ntacheka hivi jioni hii mkuu we noma sana nimejaribu kutengeneza picha yako ukiwa unapunga upepo chumba cha mtihani nimejikuta nacheka zaidiBaada y kukipga Ndalichako alinyunyuzia "F" ya Math kw mbali..niliifany kw Β½hr masaa yalio baki nilkuw napunga upepo coz ckutk kujisumbua akat radha ya "F" ya math naiona mapema
ππππ...mkuu math co somo la mchezo has kwa wanao soma St.Kajunjumele ..mwalm mmoja 1-4...Ila nashukuru Mungu akanpa ka division 3 first gradeSikutegemea kama ntacheka hivi jioni hii mkuu we noma sana nimejaribu kutengeneza picha yako ukiwa unapunga upepo chumba cha mtihani nimejikuta nacheka zaidi
ππππ Mkuu we share common moment....nakumbuka room nzma walcheka nilpo nyosha mkono kuomba 4figure ad msimamiz aknpa "pole na mtihan" ka nlkuw nafany pekeangupaper la math niliingia na peni tu...
msimamizi akaniuliza math set iko wapi darasa likacheka maana wanajua sijisumbuagi kwenye math
ikaja wakati wa kugaiwa four figure nikamwambia msimamizi mimi situmii akashangaa sana
ila ukweli ulikuwa hivyo sikutaka kujisumbua maana matokeo ya math huwa ninayo hata kabla sijafanya paper
uhakika mkuu kwa sis tuliokuw masela kwa madem hautukut kwa usumbuf hatupo ila kwenye mpira,music,muvs, video games&kujilpua hapo ndo sector etu ilkuwF ya math ilihusika
πππππ me math sikuwahi kuipenda na yenyewe haijawahi kunipendaππππ Mkuu we share common moment....nakumbuka room nzma walcheka nilpo nyosha mkono kuomba 4figure ad msimamiz aknpa "pole na mtihan" ka nlkuw nafany pekeangu
Ila ww ko ukaendanayo mpak Uni....unaonekan unamapenz y dhat na Math sema ujijui tu mkuuπππππ me math sikuwahi kuipenda na yenyewe haijawahi kunipenda
iliendelea hivyo mpaka chuo paper za account na financial management nilikiwa nalipa watu from T.I.A wanakuja kunifanyia alafu za advanced bussines mathematics nilikuwa nachukua ndondo kutoka D.I.T
ni kutokishughulisha kichwa tu mkuu nakumbuka mtihani wangu wa kwanza secondary nilipata A wa mwisho FDuh maths ina nn lkn?
Ila ww ko ukaendanayo mpak Uni....unaonekan unamapenz y dhat na Math sema ujijui tu mkuu
Hhhhhh!! math kutopendwa ata matcha wanachangiaaaaah hapana mkuu course niliyosoma uni... alafu nikakutana na math na account
ilikuwa ni kama mtu kaja kusomea udereva wa kawaida lakini akafundishwa mpaka udereva wa trekta ππ