Chumba cha mtihani

Chumba cha mtihani

torvic

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Posts
3,978
Reaction score
9,841
Habari!
Wadau ebu tujikumbushe miaka hiyo wakati NECTA inaitwa NECTA, wakati form four ilikuwa sio kitoto kutoboa, unaingia kwenye chumba cha mtihani pepa imesimama mpaka unaogopa.

Wewe unakumbuka nini kwenye pepa yako ya mwisho O - level?

Ilikuwa ngumu au ilikuwa nyepesi ?

Kuna somo lolote lilikupelekesha mpaka ukaisi unatoka na F

Kituko gani ulikiona kwenye chumba cha mitihani unakikumbuka hadi leo

Nawasilisha wadau!
 
Mm nilisinziaga pepa la civics msimamiz kaja kuniamsha bado dkk 30
 
kumaliza mtihani ilikua muhimu kuliko kufanya mtihani wenyewe na kwa mara ya kwanza nikaonja radha ya F.Sitamsahau Ndalichako.
 
Mtihani wa Necta form 4 mwaka 2001 niliingia paper la hesabu nikapanik nikaona kbs napata F ila Mungu ni mwema nikachomoka na D. Paper nlilojua natoboa vzr ni Kiswahili na Geograph maana siku ya hizo paper nliamka vzr sn...sijui ratiba ya sasa ya mtihani kama kiswahili bado zipo cku 1
 
Baada y kukipga Ndalichako alinyunyuzia "F" ya Math kw mbali..niliifany kw ½hr masaa yalio baki nilkuw napunga upepo coz ckutk kujisumbua akat radha ya "F" ya math naiona mapema
 
Baada y kukipga Ndalichako alinyunyuzia "F" ya Math kw mbali..niliifany kw ½hr masaa yalio baki nilkuw napunga upepo coz ckutk kujisumbua akat radha ya "F" ya math naiona mapema
Sikutegemea kama ntacheka hivi jioni hii mkuu we noma sana nimejaribu kutengeneza picha yako ukiwa unapunga upepo chumba cha mtihani nimejikuta nacheka zaidi
 
paper la math niliingia na peni tu...

msimamizi akaniuliza math set iko wapi darasa likacheka maana wanajua sijisumbuagi kwenye math

ikaja wakati wa kugaiwa four figure nikamwambia msimamizi mimi situmii akashangaa sana

ila ukweli ulikuwa hivyo sikutaka kujisumbua maana matokeo ya math huwa ninayo hata kabla sijafanya paper
 
Sikutegemea kama ntacheka hivi jioni hii mkuu we noma sana nimejaribu kutengeneza picha yako ukiwa unapunga upepo chumba cha mtihani nimejikuta nacheka zaidi
😂😂😂😂...mkuu math co somo la mchezo has kwa wanao soma St.Kajunjumele ..mwalm mmoja 1-4...Ila nashukuru Mungu akanpa ka division 3 first grade
 
paper la math niliingia na peni tu...

msimamizi akaniuliza math set iko wapi darasa likacheka maana wanajua sijisumbuagi kwenye math

ikaja wakati wa kugaiwa four figure nikamwambia msimamizi mimi situmii akashangaa sana

ila ukweli ulikuwa hivyo sikutaka kujisumbua maana matokeo ya math huwa ninayo hata kabla sijafanya paper
😂😂😂😂 Mkuu we share common moment....nakumbuka room nzma walcheka nilpo nyosha mkono kuomba 4figure ad msimamiz aknpa "pole na mtihan" ka nlkuw nafany pekeangu
 
😂😂😂😂 Mkuu we share common moment....nakumbuka room nzma walcheka nilpo nyosha mkono kuomba 4figure ad msimamiz aknpa "pole na mtihan" ka nlkuw nafany pekeangu
😂😂😂😂😂 me math sikuwahi kuipenda na yenyewe haijawahi kunipenda

iliendelea hivyo mpaka chuo paper za account na financial management nilikiwa nalipa watu from T.I.A wanakuja kunifanyia alafu za advanced bussines mathematics nilikuwa nachukua ndondo kutoka D.I.T
 
Ila ww ko ukaendanayo mpak Uni....unaonekan unamapenz y dhat na Math sema ujijui tu mkuu
 
Ila ww ko ukaendanayo mpak Uni....unaonekan unamapenz y dhat na Math sema ujijui tu mkuu

aaaah hapana mkuu course niliyosoma uni... alafu nikakutana na math na account

ilikuwa ni kama mtu kaja kusomea udereva wa kawaida lakini akafundishwa mpaka udereva wa trekta 😂😂
 
Math bwana daah! Siku ya paper ta maths mi nilikua nashindwa kujua kama paper ni ngumu ama nyepesi mana kila swali nilikua nafanya, na mbinu njia ilikua ni moja tuu cross multiplication ila matokeo yakitoka nna F[emoji28][emoji28]!

Halafu sijui kwanini..watu wasiojua maths huwa wanafanya swali kuanzia la kwanza hadi la mwisho kama yalivyopangwa na vipengele vyake, hamna ile ya kuanza swali ya sita ndo uje la pili kisha la ngap sijuii
 
Tangu nikiwa form two nilikuwa nimelenga masomo mawili tu kuhakikisha nayatendea haki kwenye mtihani wa NECTA form four, masomo hayo ni history na maths, nilikusudia kupata A ya history na kweli niliipata,nikatumia juhudi zote na maarifa yote kuhakikisha napata F ya maths na Mungu si Athumani nilibahatika kupata F safi ya mathematics,nilichokifanya kwenye mtihani wa maths nilikopi maswali yote kama yalivyo nikaona haitoshi maana muda bado ulikuwapo wa kutosha nikaanza kuchora ile misalaba(sijui inaitwaje) halafu naandika x upande wa juu na y upande wa kulia(nilichora misalaba kama kumi).
Nikaona msimamizi anapita na four figure anawapa wanafunzi na mimi nikaomba moja kwa ajili ya kuvungia maana nilikuwa
sijui kusoma four figure(hata sasa sijui na sitaki kujua kudadeki).
Ahsante Ndalichako kwa kunitunuku F ya maths
 
Back
Top Bottom