Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,911
- 3,016
ni kutokishughulisha kichwa tu mkuu nakumbuka mtihani wangu wa kwanza secondary nilipata A wa mwisho F
hapa nitakua cjaelew .....kuna tkfaiti kati ya ngumu na laini .....nzito na nyepesiHabari!
Wadau ebu tujikumbushe miaka hiyo wakati NECTA inaitwa NECTA, wakati form four ilikuwa sio kitoto kutoboa, unaingia kwenye chumba cha mtihani pepa imesimama mpaka unaogopa.
Wewe unakumbuka nini kwenye pepa yako ya mwisho O - level?
Ilikuwa ngumu au ilikuwa nyepesi ?
Kuna somo lolote lilikupelekesha mpaka ukaisi unatoka na F
Kituko gani ulikiona kwenye chumba cha mitihani unakikumbuka hadi leo
Nawasilisha wadau!
Baada y kukipga Ndalichako alinyunyuzia "F" ya Math kw mbali..niliifany kw ½hr masaa yalio baki nilkuw napunga upepo coz ckutk kujisumbua akat radha ya "F" ya math naiona mapema