Chumba cha mtihani

Chumba cha mtihani

Tabia ya kuvuja kwa mitihani ya taifa
ilikuwa ni siku ya Chemistry,Jamaa amekunywa majibu yake kama nyimbo,hususan maswali ya kuchagua na kuoanisha
Kitimu timu kimekuja,baada ya jamaa kupewa mitihani wake,na kuruhusiwa kuanza,
Kufungua tu....Holaaa(Pepa imebadilishwa)

Jamaa alipiga ukelele wa hatari

Haaaaaaaaaaa......Sioooooooooo

Tulikufa mbavu kwa vicheko

Alilala mwanzo mwisho
 
ni kutokishughulisha kichwa tu mkuu nakumbuka mtihani wangu wa kwanza secondary nilipata A wa mwisho F


Haha pole sana kwa kudrop kwa kasi ya mwanga. Mm nilipiga F ya BAM, form four nilitoka vizuri.
 
Nimekumbuka 2014 tulikuwa ndo tunafanya NECTA sasa ilikuwa siku ya mathematics kumbe Kuna jamaa yetu alipata gaka sasa akajifanya mjanja akala gundi [emoji871] wala akutuambia kumbe yeye usiku mzima anasolve lile gaka yan ilipo fika asubui jamaa yupo kmya Mungu sio athuman muda wa paper ukafika tukatimba ndan daaaaah [emoji27] ile tumepewa kalatasi sasa tufunguwe tuone yaliyomo ndo yenyewe au [emoji529] daaaah yule jamaa ile kufunua tuuu [emoji94] alikuta paper sio lenyewe yan alishindwa kuvumilia adi kuejaculate chaaaaaa! [emoji107] Ikabid aombe luhusa aliakiji safishe lkn walimzingua maana nusu saa la Kwanza hulusiwi kutoka
 
baada ya kupewa pepa la maths nikalisoma kisha nikalala maana nlikuwa nshajua matokeo nashtuka bado nusu saa nikaandika namba za maswal tu basi nikamaliza
 
Habari!
Wadau ebu tujikumbushe miaka hiyo wakati NECTA inaitwa NECTA, wakati form four ilikuwa sio kitoto kutoboa, unaingia kwenye chumba cha mtihani pepa imesimama mpaka unaogopa.

Wewe unakumbuka nini kwenye pepa yako ya mwisho O - level?

Ilikuwa ngumu au ilikuwa nyepesi ?

Kuna somo lolote lilikupelekesha mpaka ukaisi unatoka na F

Kituko gani ulikiona kwenye chumba cha mitihani unakikumbuka hadi leo

Nawasilisha wadau!
hapa nitakua cjaelew .....kuna tkfaiti kati ya ngumu na laini .....nzito na nyepesi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baada y kukipga Ndalichako alinyunyuzia "F" ya Math kw mbali..niliifany kw ½hr masaa yalio baki nilkuw napunga upepo coz ckutk kujisumbua akat radha ya "F" ya math naiona mapema
 
Niliingia kwenye paper ya English nikiwa nahisi njaa, baada ya lisaa la kwanza nikaomba ruhusa ya kwenda kununua mandazi.
 
2016 tu apo illikua n0ma nililala paper la maths mwnz mwsho
 
Mi nakumbuka naingia kwenye mtihani yote najua majibu nikufanya tu tena huku nimeeegemea kiti kiboss bozz tu alaf maswali mengine yaliyoulizwa inabidi nicheke mwenyewe maana maswali maji tu unakunywa tu alaf cjakushangaza kiswahili nilikuwa sijui ila matokeo kuja nina B
 
Back
Top Bottom