Hata wasanii wakubwa duniani madawa yanawatesa sana. Maisha ya fame ni magumu, ratiba ngumu, una watu wengi wa kuwalipa unafanya kazi nyingi unapata kidogo so lazima upige kazi bila kulala, ukipata muda wa kupumzika unajikuta hauna usingizi unalazimika kuanza kutumia madawa upate usingizi.
Michael Jackson alikuwa ana madeni mengi sana sababu mwishoni hakuwa anafanya kazi sababu ya madawa na akawa analipa wafanyakazi wengi sana plus Kodi za properties zake nk. Hii ilikuwa inamstress sana plus maisha ya upweke. Unaishi kwa flashlight life through media and all that ukiingia ndani unakuwa mpweke then sonona inakufanya vibaya.
Very few wameweza kupambana na maisha hayo kwa kuwa na real life like having a normal woman whom you make your wife na anaishi kawaida like Snoop Dogg na wengine walivyoamua kuraise family kikawaida inakuoa sense of being alive.