Chumba cha Umbea: Wasanii na Mihadarati

Chumba cha Umbea: Wasanii na Mihadarati

Hata wasanii wakubwa duniani madawa yanawatesa sana. Maisha ya fame ni magumu, ratiba ngumu, una watu wengi wa kuwalipa unafanya kazi nyingi unapata kidogo so lazima upige kazi bila kulala, ukipata muda wa kupumzika unajikuta hauna usingizi unalazimika kuanza kutumia madawa upate usingizi.

Michael Jackson alikuwa ana madeni mengi sana sababu mwishoni hakuwa anafanya kazi sababu ya madawa na akawa analipa wafanyakazi wengi sana plus Kodi za properties zake nk. Hii ilikuwa inamstress sana plus maisha ya upweke. Unaishi kwa flashlight life through media and all that ukiingia ndani unakuwa mpweke then sonona inakufanya vibaya.

Very few wameweza kupambana na maisha hayo kwa kuwa na real life like having a normal woman whom you make your wife na anaishi kawaida like Snoop Dogg na wengine walivyoamua kuraise family kikawaida inakuoa sense of being alive.
Umeweka vizuri sana hii kitu mkuu...
 
Wanawaaribu na nini, Mbona kama walikuwa na "Room" ya kujifunzaa kutokaa kwaoo...??

Josline anatiaa sana Huruma
Wanatumika, kama alivyokua anatumka marehemu Ngwea, Masogange na wengine...
 
JOSLINE-wanazimika na yangu perfume,niite basi mpenzi ,mshikaji mmoja hvii. kifupi wana sonona baada ya muziki kuyumba. hata QJ kuna info kuwa alidata then akaja kuokoka
QJ aliacha mapema sana akaokoka na kama alitumia madawa basi ni kidogo sana na hayakumuingia kiasi cha kuvuruga utu wake.
Aliwaacha akina Joseline na Makamua wakiwa wanatamba kwenye game.
 
Lifestyle wengi walikuwa wanaishi maisha ya kwenye movie na lifestyle sawa na yale wanayoyaona kwenye movie za mbele hasa za black americans.

Wasanii wa zamani si kwamba walikuwa hawapati pesa, ila walikuwa na matumizi na wanaishi bila mipango halafu wakiisha kimuziki wanajawa na stress wengine wanageukia madawa wengine ili kuendelez lifestyle lao wanakuwa punda.

Ni wachache ambao waliwekeza walau hata jmoe alijenga nyumba akawa baba mwenye nyumba wa irene uwoya.

Kupanga ni kuchagua
Kumbe Jaymoe alishawai kumpangisha Irene Uwoya
 
Hawa jamaa (wakali kwanza) wote wamechoka juzi kuna Interview ya QJ EFM aliojiwa na Jarib salehe (kuvichaka) Anaonekana amechoka

Ukija kwa Makamua na Joseline ndo wanatia huruma
 
Hata wasanii wakubwa duniani madawa yanawatesa sana. Maisha ya fame ni magumu, ratiba ngumu, una watu wengi wa kuwalipa unafanya kazi nyingi unapata kidogo so lazima upige kazi bila kulala, ukipata muda wa kupumzika unajikuta hauna usingizi unalazimika kuanza kutumia madawa upate usingizi.

Michael Jackson alikuwa ana madeni mengi sana sababu mwishoni hakuwa anafanya kazi sababu ya madawa na akawa analipa wafanyakazi wengi sana plus Kodi za properties zake nk. Hii ilikuwa inamstress sana plus maisha ya upweke. Unaishi kwa flashlight life through media and all that ukiingia ndani unakuwa mpweke then sonona inakufanya vibaya.

Very few wameweza kupambana na maisha hayo kwa kuwa na real life like having a normal woman whom you make your wife na anaishi kawaida like Snoop Dogg na wengine walivyoamua kuraise family kikawaida inakuoa sense of being alive.
A very humble and successful musician, Mark Knopfler, once said that there is nothing good in fame.
 
Wasanii wote hutumia madawa
Fatiliaa hiyooo interview hapooo unaweza kuliaaa........Josline dah
Screenshot_20230211_175509_Samsung%20Internet.jpg
 
Hata wasanii wakubwa duniani madawa yanawatesa sana. Maisha ya fame ni magumu, ratiba ngumu, una watu wengi wa kuwalipa unafanya kazi nyingi unapata kidogo so lazima upige kazi bila kulala, ukipata muda wa kupumzika unajikuta hauna usingizi unalazimika kuanza kutumia madawa upate usingizi.

Michael Jackson alikuwa ana madeni mengi sana sababu mwishoni hakuwa anafanya kazi sababu ya madawa na akawa analipa wafanyakazi wengi sana plus Kodi za properties zake nk. Hii ilikuwa inamstress sana plus maisha ya upweke. Unaishi kwa flashlight life through media and all that ukiingia ndani unakuwa mpweke then sonona inakufanya vibaya.

Very few wameweza kupambana na maisha hayo kwa kuwa na real life like having a normal woman whom you make your wife na anaishi kawaida like Snoop Dogg na wengine walivyoamua kuraise family kikawaida inakuoa sense of being alive.
Na wengine kipindi wako juu sana wanakuwa na ratiba ngumu sana ya shows kiasi cha kushindwa kupumzika vya kutosha, mwisho wa siku wanatumia madawa mfano cacaine ambayo inawafanya wanakuwa na mzuka wa kupiga show, mwisho wa siku yanawakamata na wanakuwa mateja. Rick James mfano mzuri.
 
QJ aliacha mapema sana akaokoka na kama alitumia madawa basi ni kidogo sana na hayakumuingia kiasi cha kuvuruga utu wake.
Aliwaacha akina Joseline na Makamua wakiwa wanatamba kwenye game.
Q Jay pia inasemwa alikuwa anapiga shows kwenye bar za uchochoroni na mikoani akiwa amelewa.
 
A very humble and successful musician, Mark Knopfler, once said that there is nothing good in fame.
Naamini, fame inaumiza hasa pale unaposhindwa kuishi maisha ambayo umeyazoea na kuyapenda.
 
Back
Top Bottom