House4Rent Chumba master 100,000/= kinapangishwa Ubungo Riverside

1. Ina madirisha mangapi (maana wengine tuna pua ndogo, dirisha moja halitoshi).

2. Mpangaji mwingine ni wa kike au kiume?([emoji38]).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumba kama haina madirisha ya Aluminium siwezi kukaa.

Sent From Galaxy S20 Ultra
 
ilo la nondo na nyavu ni 40 kabisa sio ata 60 maana fence anayo dai inaizunguka nyumba iyo sio kabisa ni ya nyumba nyingine
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ndio maana serikali inataka kuwaregulate hawa madalali sababu ya uhuni wao kama huu
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ doh
 
Madalali wa dar washenzi sana, mali unakuta ni yako lakini dalali anakupangia masharti jinsi ya kuiuza.
Niwe na nyumba dsm nitafute dalali?

Hivi umuhimu wa dalali huwa nini kwenye nyumba za kupanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…