Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah Mama umekuja? labda nikuambie.. kibiashara huwezi ridhisha kila mtu, ndio mana nikasena ukiridhika nichek, kama mtu hajaridhika si unapita kushoto,
Na kwenye huu biashara wateja wanatofautiana sana, kila mtu anaridhika na yeye mwenyewe alivyo, mfano huyo aliyeona jana naye yupo njiani anakuja kulipa,
Swali rahisi, mteja atakaekuambia naomba unitafutie master ya Laki mbili je ni sawa na yule anaekuja anakuambia nitafutie master ya 70K
Mteja aliekuambia umtafutie master ya 200k huyo kuna aina ya nyumba anayoitafuta, ukimwambia kuna master ya Laki atakuuliza mara mili mbili je ni nzuri, je ina hadhi yake?
Hayo ni mawazo yako, uliona wapi nyumba ya familia imekaa hivyo ina master zaidi ya 17? ni heri ungeacha kucommentKwa maelezo yako nimeelewa ila usimlazimishe kila mtu kuona hiyo nyumba ni nzuri, kwanza inaelekea ilikuwa nyumba ya familia ikaguzwa ya biashara so kiuhalisia sio NZURI Kabisa