Aaah Mama umekuja? labda nikuambie.. kibiashara huwezi ridhisha kila mtu, ndio mana nikasena ukiridhika nichek, kama mtu hajaridhika si unapita kushoto,
Na kwenye huu biashara wateja wanatofautiana sana, kila mtu anaridhika na yeye mwenyewe alivyo, mfano huyo aliyeona jana naye yupo njiani anakuja kulipa,
Swali rahisi, mteja atakaekuambia naomba unitafutie master ya Laki mbili je ni sawa na yule anaekuja anakuambia nitafutie master ya 70K
Mteja aliekuambia umtafutie master ya 200k huyo kuna aina ya nyumba anayoitafuta, ukimwambia kuna master ya Laki atakuuliza mara mili mbili je ni nzuri, je ina hadhi yake?