Chumba, Sebule kubwa ya kisasa na Parking ya gari inapangishwa Mabibo Makuburi karibu na Samaria Hotel

Chumba, Sebule kubwa ya kisasa na Parking ya gari inapangishwa Mabibo Makuburi karibu na Samaria Hotel

The last don

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2011
Posts
1,053
Reaction score
1,232
Chumba na sebule kubwa ya kisasa katika neighbourhood yenye amani inapangishwa kwa bei ya Tsh 150k kwa mwezi.
Mabibo makuburi nyuma tu na ilipo Samaria Hotel
Eneo lina usalama wa kutosha ndani ya geti
Mawasiliano kuja kutazama bure:
0621973591
Kodi ni malipo ya miezi sita
Hela ya udalali kama kawaida
picha kwa uchache

IMG-20241219-WA0006.jpg
 
Picha zaidi nicheki inbox..kwa ajiri ya kulinda privacy ya aliyekuwepo
 
Mtu ameshatoka boss...hivyo vimehifadhiwa tu mkuu
 
Na mpangaji akitaka aachiwe kila kilichopo maelewano ruksa na muhusika
 
Chumba bado kipo mabosi...Kariibu uishii kwenye neighbourhood ambayo ukihama basi unahamia kwako
Neighbourhood tulivu kabisa na Amani tele
 
Wadau mnaouliza Makuburi ndio wapi...ni upande wa pili wa mabibo External kilipo kituo kidogo cha polisi,Nyumba ipo umbali wa dakika tano kutoka External bus stand
 
Wadau mnaouliza Makuburi ndio wapi...ni upande wa pili wa mabibo External kilipo kituo kidogo cha polisi,Nyumba ipo umbali wa dakika tano kutoka External bus stand
Ukishaona mtu anapima umbali kwa kutumia kipimo cha muda badala ya kipimo Cha urefu bas jua kuna ka usanii hapo.
 
Ukishaona mtu anapima umbali kwa kutumia kipimo cha muda badala ya kipimo Cha urefu bas jua kuna ka usanii hapo.
Ondoa wasiwasi mkuu,ukifanya phisical visiting ndio utajua umbali halisi kwa mtazamo wako...lakini kutoka Makuburi Samaria Hotel mpaka external kwa mwendo wa kawaida ni dakika 8 mpaka 10
 
Ondoa wasiwasi mkuu,ukifanya phisical visiting ndio utajua umbali halisi kwa mtazamo wako...lakini kutoka Makuburi Samaria Hotel mpaka external kwa mwendo wa kawaida ni dakika 8 mpaka 10
Narudia Tena,
Mwendo (umbali) haupimwi Kwa dakika/saa. Hivi ni vipimo vya muda. Walioweka hivi vipimo walikua na maana nzuri tu.

Unafikiri kila mtu anatembea speed sawa? Kuna mwenye anatembea fasta na kuna mwenye anatembea pole pole.

Vile vile kuna mwenye hatua kubwa na kuna mwenye hatua ndogo pia. Cha msingi ukipima ni meter au kilometers ngapi hapo hazitabadilika regardless anaetembea ni nani na anatembeaje.
 
Sasa mbona mwanzo ulisema dakika Tano!?
Mwingine anaweza tumia muda zaidi ya huo au chini yq hapo...hizo ni dakika ni makadirio tu na wala sio constant.Lakini pia inategemea unataka kufika kutoka ilipo hiyo Nyumba...kama ni barabara ya magari yanayoenda city center ni dakika moja...umbali niliozungumzia ni wakukufikisha external ( Mandela road)
 
Ngoja nijaribu kupost google distance kutoka hapo nyumba ilipo mpaka external bus stand labda inaweza saidia.
 
Back
Top Bottom