The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 1,053
- 1,232
Toilet ikoje, tunashea wangapi?Nipigie simu ujee ukione leo nipo wakuu
0621973591
Ukishaona mtu anapima umbali kwa kutumia kipimo cha muda badala ya kipimo Cha urefu bas jua kuna ka usanii hapo.Wadau mnaouliza Makuburi ndio wapi...ni upande wa pili wa mabibo External kilipo kituo kidogo cha polisi,Nyumba ipo umbali wa dakika tano kutoka External bus stand
Toilet mnashare watu watatu wawili wenzio wote ni singular.Toilet ikoje, tunashea wangapi?
Umeme na maji?
Ondoa wasiwasi mkuu,ukifanya phisical visiting ndio utajua umbali halisi kwa mtazamo wako...lakini kutoka Makuburi Samaria Hotel mpaka external kwa mwendo wa kawaida ni dakika 8 mpaka 10Ukishaona mtu anapima umbali kwa kutumia kipimo cha muda badala ya kipimo Cha urefu bas jua kuna ka usanii hapo.
Sasa mbona mwanzo ulisema dakika Tano!?Ondoa wasiwasi mkuu,ukifanya phisical visiting ndio utajua umbali halisi kwa mtazamo wako...lakini kutoka Makuburi Samaria Hotel mpaka external kwa mwendo wa kawaida ni dakika 8 mpaka 10
Narudia Tena,Ondoa wasiwasi mkuu,ukifanya phisical visiting ndio utajua umbali halisi kwa mtazamo wako...lakini kutoka Makuburi Samaria Hotel mpaka external kwa mwendo wa kawaida ni dakika 8 mpaka 10
Mwingine anaweza tumia muda zaidi ya huo au chini yq hapo...hizo ni dakika ni makadirio tu na wala sio constant.Lakini pia inategemea unataka kufika kutoka ilipo hiyo Nyumba...kama ni barabara ya magari yanayoenda city center ni dakika moja...umbali niliozungumzia ni wakukufikisha external ( Mandela road)Sasa mbona mwanzo ulisema dakika Tano!?
Ngoja nijaribu kupost google distance kutoka hapo nyumba ilipo mpaka external bus stand labda inaweza saidia.