Chumba, Sebule kubwa ya kisasa na Parking ya gari inapangishwa Mabibo Makuburi karibu na Samaria Hotel

Hiyo ni distance ya google ambayo inafata barabara kuu...hivyo ukipita short cut distance ni pungufu ya hizo
 
Muwe mnawaelimisha wamiliki wa nyumba siku hizi mambo ya kushare vyoo watu hawataki
Asante mkuu,Mwenye nyumba unakuta kajenga nyumba yake hivyo ilivyo kabla hatujazaliwa,maisha lazima yaendelee mkuu hivyo hivyo yalivyo.
But hii shared toilet ya hii nyumba ni safi na yenye nafasi ya kutosha waliofika kuona wamethibitisha hilo
 
Kuna kubadilika kutokana na nyakati tulizopo.. shared toilet lazima kupangiana zamu ya kusafisha. Ulikuwa ni ushauri wa kuwapa wenye nyumba kupandisha thamani nyumba zao
 
Kuna kubadilika kutokana na nyakati tulizopo.. shared toilet lazima kupangiana zamu ya kusafisha. Ulikuwa ni ushauri wa kuwapa wenye nyumba
Asante mkuu,ushauri umechukuliwa
 
Wakuu nyumba bado haijalipiwaa,
leo napatikana kwa wanaotaka kuja kuangalia chumba.
 
Nyumba bado ipo wadau...
Mwenye nyumba kwa kutambua ugumu wa December to January anapokea kodi ya miezi minne iwapo huna budget ya miezi sita.
0621973591
 
Ni vizuri watu wakaelewa hii. Katika kutoa maelezo ya biashara mtu anatakiwa kuwa makini ili maelezo yajitosheleze bila kuonyesha ujanjaujanja
 
Je hii nyumba ni ya udongo? Tutajuwaje kama ni ya tofali, kwanini usiweke picha ya nyumba nzima ili tuione?
 
Je hii nyumba ni ya udongo? Tutajuwaje kama ni ya tofali, kwanini usiweke picha ya nyumba nzima ili tuione?
Nyumba ya tofari tajiriii shaka ondoa kwenye hilo,Nilituma picha ya chumba sababu kinachopangishwa ni hiko chumba sio nyumba yote..ila wewe kama mteja ukipenda nikutumie picha za nyumba yote kama ilivyo naweza kukutumia bila shaka
 
Wakuu chumba bado kipo,leo napatikana wanaotaka kuja kukiangalia....karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…