Haaa...haaa...haaa ! Aiseeh pole sana.Huwezi kuanza na distribution kabla ya awareness. Sisi sote hatujui amejipanga vipi kwa distribution, ni mapema mno kumkosoa kuhusu distribution. Yeye ni lazima anatumia model na theory fulani iliyofanikiwa katika biashara hii ya neel salt.
Nakupa tu study case ya Reginald Mengi na product yake ya ' Hakuna Matata'Huwezi kuanza na distribution kabla ya awareness. Sisi sote hatujui amejipanga vipi kwa distribution, ni mapema mno kumkosoa kuhusu distribution. Yeye ni lazima anatumia model na theory fulani iliyofanikiwa katika biashara hii ya neel salt.
....yupo sawa, isipokuwa investment anayoiweka kwenye matangazo na aina ya product itampa shida sana katika RoI (return on investment)Mi naona yuko sawa na sasa anatangaza cable
Kizazi cha akina Kichuya hawana fedha za kununua cable, hawana nyumba wala kiwanja sio wanunuaji kama wale wa kizazi cha Kalusha. Wahindi sio kama sisi kwenye biashara. Kabla ya kuanzisha biashara zao huwa wanafanya consultations nyingi sana za kutosha, wao wamezaliwa wamekuta biashara labour ward, sisi tunajifunza na kuigaiga tu. Nani kakwambia kuwa hajui kama distribution plan ni muhimu sana kwenye biashara? tusivuke daraja kabla ya kulifikia.....yupo sawa, isipokuwa investment anayoiweka kwenye matangazo na aina ya product itampa shida sana katika RoI (return on investment)
Kwa mfano anatangaza cable kwa kumtumia Kalusha Bwalya.
Kalusha Bwalya wa Zambia, huyo jamaa ni kizazi cha kina Zamoyoni Mogela na Lila Shomari. Technically huo ni udhaifu mkubwa sana.
Aiseeh we jamaa ! Daah wakuonea huruma.Kizazi cha akina Kichuya hawana fedha za kununua cable, hawana nyumba wala kiwanja sio wanunuaji kama wale wa kizazi cha Kalusha. Wahindi sio kama sisi kwenye biashara. Kabla ya kuanzisha biashara zao huwa wanafanya consultations nyingi sana za kutosha, wao wamezaliwa wamekuta biashara labour ward, sisi tunajifunza na kuigaiga tu. Nani kakwambia kuwa hajui kama distribution plan ni muhimu sana kwenye biashara? tusivuke daraja kabla ya kulifikia.
....sasa unajua athari ya watu kjiita chumvi ya Majuto ?
Walini kwani wewe ?Mmh hiyo product ya hakuna matata aliitoa lini na ilikuwa inahusu nini? Bandiwe
Walini kwani wewe ?
Kama sikosei ni over 15 years.
Mengi aliwekeza sana na product, kiwanda kikashindwa jumla.
Nilikuwa nataka kumpa mfano humu mtu ambaye hajui kuwa unaweza kutumia advertising halafu ikakuulia brand yako.
....that's unprofessional !Jamaa anacreate kwanza public awareness of the product na pindi atapoanza sambaza kwa kasi tayar mtu anajua dukani anaenda nunua chumvi gani // kama diamond karanga
Majuto is not brand ambassador.Brand ambassadors change everyday....
Ndio maana unabishana na wengi humu, wewe uko mono. Unaongea karma ulivyojibia mtihani. Watu wengi wanaoweza kununua cable wanamfahamu pia kazi za Kalusha. Sabuni ya unga ya cleosoft inatangazwa na Asamoh Gyan hapa nchini. kwa makubaliano Unaweza pia kumtumia mtu aliyekuwa maarufu hata kama sio mtanzania kama vile drogba, Pele, ronaldo kwenye biashara yako.Aiseeh we jamaa ! Daah wakuonea huruma.
Superstar wa Zambia ukamtumie bongo !?
Unaandika andikaa tuuu !
Hivi una professional gani ?
Hawajui maaan ya celebrity[emoji12] [emoji12] [emoji12]Ndio maana unabishana na wengi humu, wewe uko mono. Unaongea karma ulivyojibia mtihani. Watu wengi wanaoweza kununua cable wanamfahamu pia kazi za Kalusha. Sabuni ya unga ya cleosoft inatangazwa na Asamoh Gyan hapa nchini. kwa makubaliano Unaweza pia kumtumia mtu aliyekuwa maarufu hata kama sio mtanzania kama vile drogba, Pele, ronaldo kwenye biashara yako.
Majuto is not brand ambassador.
Haaaa...haaa...haa ! Asamoh Gyan yupo active mpaka leo bado anacheza. Mashindano ya mwisho ni AFCON.Ndio maana unabishana na wengi humu, wewe uko mono. Unaongea karma ulivyojibia mtihani. Watu wengi wanaoweza kununua cable wanamfahamu pia kazi za Kalusha. Sabuni ya unga ya cleosoft inatangazwa na Asamoh Gyan hapa nchini. kwa makubaliano Unaweza pia kumtumia mtu aliyekuwa maarufu hata kama sio mtanzania kama vile drogba, Pele, ronaldo kwenye biashara yako.
Haaaa...haaa...haa ! Asamoh Gyan yupo active mpaka leo bado anacheza. Mashindano ya mwisho ni AFCON.
Leo unamfananisha na Kalusha Bwalya !
Unamtumia celebrate to your advantage. (elewa sijasema ni makosa kumtumia Kalusha !)
Tuseme sasa hivi umtumie Zamoyoni Mogela (Golden Boy) !?
Wanao taka advantage watamtumia Samatta.
Zamoyoni Mogella, Mbaraka Mwishehe, King Kikii, Salam Abdalah, Kibaden, Edibily Lunyamila, Bi Kidude, Mzee Nyunyusa, nk bado kuna watu wanawakumbuka ndani ya jamii, unaweza kuwatumia kutegemea na target (walengwa) yako, unataka kufanya nini kwa madhumuni gani na kwa akina nani wa rika lipi. Hata vijana wetu wa bongo fleva wanaimba au wanakarabati nyimbo za wazee wa zamani, kwa mawazo yako waliovuma zamani hawana thamani na hawajulikani tena. MonoHaaaa...haaa...haa ! Asamoh Gyan yupo active mpaka leo bado anacheza. Mashindano ya mwisho ni AFCON.
Leo unamfananisha na Kalusha Bwalya !
Unamtumia celebrate to your advantage. (elewa sijasema ni makosa kumtumia Kalusha !)
Tuseme sasa hivi umtumie Zamoyoni Mogela (Golden Boy) !?
Wanao taka advantage watamtumia Samatta.
Nguvu zile za matangazo zilipaswa kuwekezwa kwenye brand mpya ya bia inapoingia sokoni... sio chumvi ya 500 inatumika wiki mbili na familia ya watu 8Chumvi ina 'inelastic Demand' hakukuwa na haja ya kuitangaza namna ile.