Chumvi ya Neel (Neel salt) ni biashara ya nani?

Huwezi kuanza na distribution kabla ya awareness. Sisi sote hatujui amejipanga vipi kwa distribution, ni mapema mno kumkosoa kuhusu distribution. Yeye ni lazima anatumia model na theory fulani iliyofanikiwa katika biashara hii ya neel salt.
Haaa...haaa...haaa ! Aiseeh pole sana.
Unajua 'Retail Audit' !?
Nimegundua unaandika andika tuuu !
 
Huwezi kuanza na distribution kabla ya awareness. Sisi sote hatujui amejipanga vipi kwa distribution, ni mapema mno kumkosoa kuhusu distribution. Yeye ni lazima anatumia model na theory fulani iliyofanikiwa katika biashara hii ya neel salt.
Nakupa tu study case ya Reginald Mengi na product yake ya ' Hakuna Matata'
Unajua kwanini ili feli ?
Mengi ana TV, Radio na pesa.
 
Mi naona yuko sawa na sasa anatangaza cable
....yupo sawa, isipokuwa investment anayoiweka kwenye matangazo na aina ya product itampa shida sana katika RoI (return on investment)
Kwa mfano anatangaza cable kwa kumtumia Kalusha Bwalya.
Kalusha Bwalya wa Zambia, huyo jamaa ni kizazi cha kina Zamoyoni Mogela na Lila Shomari. Technically huo ni udhaifu mkubwa sana.
 
Kizazi cha akina Kichuya hawana fedha za kununua cable, hawana nyumba wala kiwanja sio wanunuaji kama wale wa kizazi cha Kalusha. Wahindi sio kama sisi kwenye biashara. Kabla ya kuanzisha biashara zao huwa wanafanya consultations nyingi sana za kutosha, wao wamezaliwa wamekuta biashara labour ward, sisi tunajifunza na kuigaiga tu. Nani kakwambia kuwa hajui kama distribution plan ni muhimu sana kwenye biashara? tusivuke daraja kabla ya kulifikia.
 
Aiseeh we jamaa ! Daah wakuonea huruma.
Superstar wa Zambia ukamtumie bongo !?
Unaandika andikaa tuuu !
Hivi una professional gani ?
 
Nakupa tu study case ya Reginald Mengi na product yake ya ' Hakuna Matata'
Unajua kwanini ili feli ?
Mengi ana TV, Radio na pesa.

Mmh hiyo product ya hakuna matata aliitoa lini na ilikuwa inahusu nini? Bandiwe
 
Walini kwani wewe ?
Kama sikosei ni over 15 years.
Mengi aliwekeza sana na product, kiwanda kikashindwa jumla.
Nilikuwa nataka kumpa mfano humu mtu ambaye hajui kuwa unaweza kutumia advertising halafu ikakuulia brand yako.
 
ok nime-google "hakuna matata in relation to ipp group of companies", nikaona ni kinywaji cha kilevi (spirit)...by the way product za Mengi nyingi hazijulikani kama za bakhressa, sijui alijaribu product nyingi lakini nyingi zikafeli, Mengi kinachombeba ni maji ya kunywa ya kilimanjaro Bandiwe
 
Hiyo chuvi nimetokea kuikubali Sana na ndo bidhaa yangu kubwa aisee jamaa yupo vzr Sana nanejipanga kuliteka soko
 
Jamaa anacreate kwanza public awareness of the product na pindi atapoanza sambaza kwa kasi tayar mtu anajua dukani anaenda nunua chumvi gani // kama diamond karanga
 
....that's unprofessional !
 
Aiseeh we jamaa ! Daah wakuonea huruma.
Superstar wa Zambia ukamtumie bongo !?
Unaandika andikaa tuuu !
Hivi una professional gani ?
Ndio maana unabishana na wengi humu, wewe uko mono. Unaongea karma ulivyojibia mtihani. Watu wengi wanaoweza kununua cable wanamfahamu pia kazi za Kalusha. Sabuni ya unga ya cleosoft inatangazwa na Asamoh Gyan hapa nchini. kwa makubaliano Unaweza pia kumtumia mtu aliyekuwa maarufu hata kama sio mtanzania kama vile drogba, Pele, ronaldo kwenye biashara yako.
 
Hawajui maaan ya celebrity[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ndio maana unabishana na wengi humu, wewe uko mono. Unaongea karma ulivyojibia mtihani. Watu wengi wanaoweza kununua cable wanamfahamu pia kazi za Kalusha. Sabuni ya unga ya cleosoft inatangazwa na Asamoh Gyan hapa nchini. kwa makubaliano Unaweza pia kumtumia mtu aliyekuwa maarufu hata kama sio mtanzania kama vile drogba, Pele, ronaldo kwenye biashara yako.
Haaaa...haaa...haa ! Asamoh Gyan yupo active mpaka leo bado anacheza. Mashindano ya mwisho ni AFCON.
Leo unamfananisha na Kalusha Bwalya !
Unamtumia celebrate to your advantage. (elewa sijasema ni makosa kumtumia Kalusha !)
Tuseme sasa hivi umtumie Zamoyoni Mogela (Golden Boy) !?
Wanao taka advantage watamtumia Samatta.
 
Zamoyoni Mogella, Mbaraka Mwishehe, King Kikii, Salam Abdalah, Kibaden, Edibily Lunyamila, Bi Kidude, Mzee Nyunyusa, nk bado kuna watu wanawakumbuka ndani ya jamii, unaweza kuwatumia kutegemea na target (walengwa) yako, unataka kufanya nini kwa madhumuni gani na kwa akina nani wa rika lipi. Hata vijana wetu wa bongo fleva wanaimba au wanakarabati nyimbo za wazee wa zamani, kwa mawazo yako waliovuma zamani hawana thamani na hawajulikani tena. Mono
 
Chumvi ina 'inelastic Demand' hakukuwa na haja ya kuitangaza namna ile.
Nguvu zile za matangazo zilipaswa kuwekezwa kwenye brand mpya ya bia inapoingia sokoni... sio chumvi ya 500 inatumika wiki mbili na familia ya watu 8
 
Back
Top Bottom