Chumvi ya Neel (Neel salt) ni biashara ya nani?

upo sahihi, advertising budget yake bila shaka ni kubwa hasa kwa tunayo yaona ila mimi nimemuelewa sana. kwa mazoea hakuna mtu anaeenda dukani akasema nahitaji "chumvi X" bali husema nahitaji chumvi na wala haangaiki kujua chumvi ni ya kiwanda gani au inatengenezwa wapi.

Neel salt wameamua kubadilisha hili, wanatengeneza BRAND recognition, preference and loyalty. Wanataka mtu akienda dukani aseme nataka chumvi ya NEEL, wanahitaji mtu akiwaza chumvi awaze NEEL, thats why umeeona floods ya matangazo yao from "above the line to below the line media". Angalia hata packaging yao ni tofauti na hizi nyengine tulizozoea. Watafanikiwa sana naweza kusema.

Cha muhimu ni distribution sasa, wahakikishe from small outlets za kina mangi mpaka wamama wanaopanga chini na kwenye meza masokoni wanazo za kutosha. wa wabrand mama ntilie masokoni, vituo vya daladala na bus stations na aprons za NEEL.
 
Hakuna kitu kama hicho ! Chumvi ikitangazwa sana unaweza nunua kutoka nusu kilo mpaka kilo 5 ?
Haya mambo ni fani.

Hujaelewa. Kama unanunua kilo moja ya chumvi fulani, bsi utaacha na kununua kilo moja na NeelKanth. Na soko linavyokuwa kutokana na watu na uchumi basi yukle anetangaza ndio atauza
 
upo sahihi, advertising budget yake bila shaka ni kubwa hasa kwa tunayo yaona ila mimi nimemuelewa sana. kwa mazoea hakuna mtu anaeenda dukani akasema nahitaji "chumvi X" bali husema nahitaji chumvi na wala haangaiki kujua chumvi ni ya kiwanda gani au inatengenezwa wapi.

Neel salt wameamua kubadilisha hili, wanatengeneza BRAND recognition, preference and loyalty. Wanataka mtu akienda dukani aseme nataka chumvi ya NEEL, wanahitaji mtu akiwaza chumvi awaze NEEL, thats why umeeona floods ya matangazo yao from "above the line to below the line media". Angalia hata packaging yao ni tofauti na hizi nyengine tulizozoea. Watafanikiwa sana naweza kusema.

Cha muhimu ni distribution sasa, wahakikishe from small outlets za kina mangi mpaka wamama wanaopanga chini na kwenye meza masokoni wanazo za kutosha. wa wabrand mama ntilie masokoni, vituo vya daladala na bus stations na aprons za NEEL.
Haaa....haaa .....haaa ! Kwa chumvi ni kutupa pesa.
Wangekuwa na categories brand portfolio ningewaelewa.
Mfano chumvi ya kawaida, chumvi ya mezani, chumvi ya Hotelini, chumvi ya kukaushia nyama nk nk.
Otherwise distribution kwa Dar peke yake wamesha chemka.
 
Hujaelewa. Kama unanunua kilo moja ya chumvi fulani, bsi utaacha na kununua kilo moja na NeelKanth. Na soko linavyokuwa kutokana na watu na uchumi basi yukle anetangaza ndio atauza
Hiyo ineletwa na Distribution, na si kuacha tu, kama chumvi haina utofauti (features) kwa nini ni badilishe.
Chumvi ni chumvi tuu, tofauti ni ukavu na ulaini baass !
 
Mzee mimi niko field, hao jamaa hawezi badili game la soko la chumvi hata waseme wameweka nini.
Issue ni distribution.
Kwa mfano Unilever (omo) wana gari 50 canter za distribution kwa Dar mjini pekee. Sasa hao wa chumvi hawana hata gari 5 !
All unreached customers wataendelea na kuuza chumvi ingine.
Kuuza ni vingine na kusambaza ni kazi ingine.
Uko sawa mkuu, lakini TBL wanawezaje kusambaza bia zao nchi nzima? Mtibwa je? Coca-Cola? Uhai minerals water, mbegu za mahindi DK, actually they can not make everyone use their salts but they can convince big institutions like schools, poisons, colleges, army, hotels, nk use their salts.
 
Angalia miundo mbinu ya hao watu katika usambazaji ndo utajua ukubwa na gharama ya usambazaji. Pia chumvi haimo kwenye kundi la fmcg (fast moving consumer goods)
Hivyo huwezi kuitengenezea mfumo wa usambazaji wa soda au bia.
 
Hiyo ineletwa na Distribution, na si kuacha tu, kama chumvi haina utofauti (features) kwa nini ni badilishe.
Chumvi ni chumvi tuu, tofauti ni ukavu na ulaini baass !
Kaka huyu jamaa inawezekana mbinu yake ya kuitangaza chumvi yake ikazaa matunda. Sasa hivi kila mtu anataka akaionje hii chumvi kwa sababu zake. Wako watakaoinunua kwa sababu ya kuvutiwa na king Majuto, kikatoon, package na curiosity tu.
If you win Customers' minds, then you have it all. But in our Local Market especially the Fast Moving consumables Goods Industry what matters is "PRICE", "AVAILABILITY" "VISIBILITY" and Lastly is AWARENESS.
 
upo sahihi, advertising budget yake bila shaka ni kubwa hasa kwa tunayo yaona ila mimi nimemuelewa sana. kwa mazoea hakuna mtu anaeenda dukani akasema nahitaji "chumvi X" bali husema nahitaji chumvi na wala haangaiki kujua chumvi ni ya kiwanda gani au inatengenezwa wapi.

Neel salt wameamua kubadilisha hili, wanatengeneza BRAND recognition, preference and loyalty. Wanataka mtu akienda dukani aseme nataka chumvi ya NEEL, wanahitaji mtu akiwaza chumvi awaze NEEL, thats why umeeona floods ya matangazo yao from "above the line to below the line media". Angalia hata packaging yao ni tofauti na hizi nyengine tulizozoea. Watafanikiwa sana naweza kusema.

Cha muhimu ni distribution sasa, wahakikishe from small outlets za kina mangi mpaka wamama wanaopanga chini na kwenye meza masokoni wanazo za kutosha. wa wabrand mama ntilie masokoni, vituo vya daladala na bus stations na aprons za NEEL.
Iko siku watu hawatatamka chumvi tena bali watasema nipe Neel kama ilivyotokea kwa dawa za kiwi, Colgate, panadol na vituo vya mafuta vya kampuni ya Shell. Ziko brands nyingi za dawa za viatu lakini watu wanaziita zote Kiwi. Vituo vyote vya mafuta wanaviita sheli na paracetamol zote wanaziita panadol
 
Kaka huyu jamaa inawezekana mbinu yake ya kuitangaza chumvi yake ikazaa matunda. Sasa hivi kila mtu anataka akaionje hii chumvi kwa sababu zake. Wako watakaoinunua kwa sababu ya kuvutiwa na king Majuto, kikatoon, package na curiosity tu.
Huwezi tumia strategy za fmcg kwenye chumvi. That is a bottom line.
 
Wazee huyu jamaa inaonekana kuwa amejipanga sana kibiashara kutokana na wingi na aina ya matangazo yake.

Nani amjua mwenye biashara hii kubwa na muhimu ya NEEL salt?
Wa nn sasa ww mnunuz wa kawaida unamtaka mmliki wa nn? Ww c unanunua chumvi mia tatu sasa unaisi anafaidiiiiiiiiii?
 
Hiyo ineletwa na Distribution, na si kuacha tu, kama chumvi haina utofauti (features) kwa nini ni badilishe.
Chumvi ni chumvi tuu, tofauti ni ukavu na ulaini baass !

Distribution lazima iwe suported na advertising otherwise hamna ambaye ange advertising. Angalia distribution ya Coca Cola lakini wana-advertise kama nini, why? Retailers watatunua kile kinachouliziwa sio tu kwa sababu una distribution pamoja na kwamb adistribution ni muhimu
 
.....kaka hizi ni fani za watu, na naogelea katika fani.
Kifupi huwezi kuiweka Coca Cola kundi moja na chumvi. Coca Cola ni FMCG na ina elastic demand (ndio maana siku za jua kali na siku kuu soda zinauzika sana) pamoja na kuwa na effect ya bei ( jero jero/ pepsi bigi campaign)
Chumvi haiongezeki mauzo wakati wa siku kuu wala kiangazi.
Strategy ya chumvi ni kujali quality na perfomance na distribution baass !
Jamaa katumia pesa vibaya sana kwa marketing.
 
Mi nimjue kwanza mmiliki wa CHUMVI YA MAWE (ile ya asili) kisha na mmiliki wa KAY SALT kisha ndo turudi kwenye NEEL SALT
 
Kaka hebu tuachane na elimu za vitabuni tuongee uhalisia. Hivi ni bidhaa gani duniani ambayo inauzwa kwa wingi kuliko nyingine kuliko chumvi? Watu wangapi duniani wanakunywa Coca-Cola kwa siku?
Chumvi inaliwa karibu na watu wote duniani na ndio sababu madini ya Iodine (madini joto) yakaamuliwa kuwekwa kwenye chumvi na sio kwenye soda, sukari wala mchele. Chumvi inaliwa na watu wa rangi, dini, umri, jinsia, na elimu zote. Pamoja na kwamba ni inelastic (sio manati) lakini inaliwa kwa wingi bila kuathiliwa na matangazo, bei wala uzalishaji.
 
Chumvi nyingine zinajulikana zinakotengezwa kule uvinza, sadan, ununio, mnyanjani, malindi hata kama wamiliki wake mmojammoja hawajulikani. Je, Neel salt inachimbwa wapi? Tannzania au imported.
 
Kaka hebu tuachane na elimu za vitabuni tuongee uhalisia. Hivi ni bidhaa gani duniani ambayo inauzwa kwa wingi kuliko nyingine kuliko chumvi? Watu wangapi duniani wanakunywa Coca-Cola kwa siku?
Chumvi inaliwa karibu na watu wote duniani na ndio sababu madini ya Iodine (madini joto) yakaamuliwa kuwekwa kwenye chumvi na sio kwenye soda, sukari wala mchele. Chumvi inaliwa na watu wa rangi, dini, umri, jinsia, na elimu zote. Pamoja na kwamba ni inelastic (sio manati) lakini inaliwa kwa wingi bila kuathiliwa na matangazo, bei wala uzalishaji.
.....aaah ! Wewe unataka kuleta ligi isio na sababu.
Mie sizungumzii chumvi katumia nani na nani sijui wapi na nini !
Approach yao on marketing strategy perspective.
Kama unajiona unajua saana strategy za chumvi unafananisha na za zote, sawa tu jifurahishe.
Maana hujui hata simple logic za elastic na inelastic demand na unalazimisha inelastic iwe elastic !
 
Back
Top Bottom