The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Point taken,
Definitely that will encourage industrialization.
However, am still shocked by that marketing budget.
I personally failed to figure out the whole idea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point taken,
Definitely that will encourage industrialization.
However, am still shocked by that marketing budget.
...kila mfanyabiashara anatamani bidhaa yake itumiwe na kila mtu duniani kama ikibidi,.....aaah ! Wewe unataka kuleta ligi isio na sababu.
Mie sizungumzii chumvi katumia nani na nani sijui wapi na nini !
Approach yao on marketing strategy perspective.
Kama unajiona unajua saana strategy za chumvi unafananisha na za zote, sawa tu jifurahishe.
Maana hujui hata simple logic za elastic na inelastic demand na unalazimisha inelastic iwe elastic !
lastic = hii ni lugha ya uchumi na masoko ambayo kwa maneno yasiyo rasmi ni kunyumbulika, kuvutikana kama mpira wa manati, kuongezeka urefu au ujazo, wingi, utumiaji wa bidhaa sokoni. Inelastic ni kinyume lastic, maana yake isiyonyumbulika wala kubadilika wala kuongezeka urefu, ujazo, ukubwa, wingi, uhitaji, n.k. Mfano, kama bei ya sukari ikipunguzwa bei (price) watu wengi zaidi wanaweza kununua sukari zaidi na kunywa chai, na kama bei ya bia ikiongezwa zaidi juu wateja wa bia wanaweza kupungua sana, hivyo bidhaa zote zenye tabia kama hiyo ya kunyumbulika/kubadilikabalika uhitaji wake kwenye soko kutokana na bei na matangazo zinaitwa "elastic goods". Lakini chumvi haina tabia hiyo kwakuwa mahitaji na uhitaji wa chumvi upo tu palepale hata kama bei ya chumvi itapunguzwa au kuongezwa, itatangwa au haitatangazwa, ndiyo maana wataalamu wetu humu ndani wameiweka chumvi kwenye kundi la bidhaa ambazo "inelastic" kwakuwa bei au matangazo hayawezi kuathiri matumizi wala ununuzi wa chumvi madukani."Inelastic", fafanua mkuu wengine commerce tuliishia form two
....umeelezea vizuri sana kaka, ila hapo ulipoifananisha na omo ndo kidogo si sawa. Ila chumvi na Panado zipo category moja ya inelastic....kila mfanyabiashara anatamani bidhaa yake itumiwe na kila mtu duniani kama ikibidi,
lastic = hii ni lugha ya uchumi na masoko ambayo kwa maneno yasiyo rasmi ni kunyumbulika, kuvutikana kama mpira wa manati, kuongezeka urefu au ujazo, wingi, utumiaji wa bidhaa sokoni. Inelastic ni kinyume lastic, maana yake isiyonyumbulika wala kubadilika wala kuongezeka urefu, ujazo, ukubwa, wingi, uhitaji, n.k. Mfano, kama bei ya sukari ikipunguzwa bei (price) watu wengi zaidi wanaweza kununua sukari zaidi na kunywa chai, na kama bei ya bia ikiongezwa zaidi juu wateja wa bia wanaweza kupungua sana, hivyo bidhaa zote zenye tabia kama hiyo ya kunyumbulika/kubadilikabalika uhitaji wake kwenye soko kutokana na bei na matangazo zinaitwa "elastic goods". Lakini chumvi haina tabia hiyo kwakuwa mahitaji na uhitaji wa chumvi upo tu palepale hata kama bei ya chumvi itapunguzwa au kuongezwa, itatangwa au haitatangazwa, ndiyo maana wataalamu wetu humu ndani wameiweka chumvi kwenye kundi la bidhaa ambazo "inelastic" kwakuwa bei au matangazo hayawezi kuathiri matumizi wala ununuzi wa chumvi madukani.
Anachofanya mmiliki wa neel salt ni kutangaza tena na tena na tena brand yake ya Neel salt kwenye masikio na macho ya watumiaji wa chumvi ili kila mtu anapokwenda sokoni asiseme naomba chumvi badala yake asememe naomba neel sawa na wale wanaoita OMO sabuni zote za unga, au Kiwi dawa zote za viatu, au panadol dawa zote za maumivu kwa kuwa wao walizitangaza na kuzisambaza saaaana bidhaa zao hizo kwanjia tofautitofauti.
Nadhani mkuu nimesaidia kidogo japo mimi hili sio chimbo langu kabisaa.
.....kaka hizi ni fani za watu, na naogelea katika fani.
Kifupi huwezi kuiweka Coca Cola kundi moja na chumvi. Coca Cola ni FMCG na ina elastic demand (ndio maana siku za jua kali na siku kuu soda zinauzika sana) pamoja na kuwa na effect ya bei ( jero jero/ pepsi bigi campaign)
Chumvi haiongezeki mauzo wakati wa siku kuu wala kiangazi.
Strategy ya chumvi ni kujali quality na perfomance na distribution baass !
Jamaa katumia pesa vibaya sana kwa marketing.
Sijakataa kwamba haitakiwi kuifanyia chumvi promotion au kui brand chumvi.Read the below. Its not the product, its the BRAND
Tata Salt’s Promotional Strategies
My brother, you can promote ANYTHING. Soma jinsi promotion ilivyofanywa kubadilisha tabia ya wanawake wasiovuta sigara, kuanza kuvuta sigara
Torches of Freedom: Women and Smoking Propaganda - Sociological Images
Tanzania utamaduni huo haupoWewe uko mbali sana na ukweli, duniani kote hata nchi zilizoendelea hawanunui bidhaa bila kufahamu umiliki wake, nani kutengeneza, viwango, expiry date, kodi nk. Wewe unafakamia tu. Ndio maana bidhaa zetu zinashindwa kupenya kwenye masoko ya nje.
Nimesoma hiyo mikakati yote miwili ambayo wametumia hao wa iodinized salt wa India na mikakati ya Edward Bernal ndugu yake na Segmund Freud ya kuimarisha mkakati wa wanawake kuvuta sigara ili kuimarisha soko lao. Hiyo ya Bernal ndo balaa zaidi kwnza kitendo cha kukifanya kitu kilichokuwa unathorized public issue mpaka kuwa authorized si mchezo. Thank you very much mkuu!Read the below. Its not the product, its the BRAND
Tata Salt’s Promotional Strategies
My brother, you can promote ANYTHING. Soma jinsi promotion ilivyofanywa kubadilisha tabia ya wanawake wasiovuta sigara, kuanza kuvuta sigara
Torches of Freedom: Women and Smoking Propaganda - Sociological Images
wakati wa sikuu mauzo ya soda yanaongezeka kwasababu ni kipindi ambacho watu wengi wanapata angalau soda moja au hata watoto 3 kugawiana soda moja tofauti na chumvi ambayo inaliwa na kila mtu kila siku siku zote. tuko watu 55,000,000 nchini kama kila mtu atakula 3g per day (kwenye chakula, nyamachoma, chachandu, maembe mabichi, mahindi ya kuchoma mijini, matango, mtori) ni sawa na kuuza chumvi kiasi cha 55,000,000 x 3g = 165,000Kg, sawa na tani 165 za chumvi kwa siku. Haya ni matumizi makubwa sana kuliko biashara ya sukari na soda zako ambazo wanywaji hawazidi hata 5m kwa siku hapa nchini......kaka hizi ni fani za watu, na naogelea katika fani.
Kifupi huwezi kuiweka Coca Cola kundi moja na chumvi. Coca Cola ni FMCG na ina elastic demand (ndio maana siku za jua kali na siku kuu soda zinauzika sana) pamoja na kuwa na effect ya bei ( jero jero/ pepsi bigi campaign)
Chumvi haiongezeki mauzo wakati wa siku kuu wala kiangazi.
Strategy ya chumvi ni kujali quality na perfomance na distribution baass !
Jamaa katumia pesa vibaya sana kwa marketing.
Kwani akiomba picha ya majuto itumike kwenye pakti ya chumvi ya neel si sawa tu pia?....umeelezea vizuri sana kaka, ila hapo ulipoifananisha na omo ndo kidogo si sawa. Ila chumvi na Panado zipo category moja ya inelastic.
Kwa nini Panadol/Hedex zinatangazwa sana ? .....jibu: unaifanya Brand kuwa common, but you must always focus in distribution. Otherwise, consumer wataambiwa ipo Panadol ya Keko.
Kuitangaza sana Panadol haitafanya watu wanunue tu hata kama huumwi bali itakuwa a trusted choice. Hivyo volume (mauzo mengi) yanategemea distribution na si matumizi makubwa.
Tukirudi kwenye chumvi, yale yale tu, sasa hivi wengi wa wanunuzi uswahilini wanaiita chumvi ya majuto.
Kwahiyo shida tayari hapo, brand ya neel salt haitashika tena bali majuto na hilo si jambo poa.
kaka umemaliza ubishiRead the below. Its not the product, its the BRAND
Tata Salt’s Promotional Strategies
My brother, you can promote ANYTHING. Soma jinsi promotion ilivyofanywa kubadilisha tabia ya wanawake wasiovuta sigara, kuanza kuvuta sigara
Torches of Freedom: Women and Smoking Propaganda - Sociological Images
Daaah...! Kwani Majuto ndo Brand !? Akifa ?Kwani akiomba picha ya majuto itumike kwenye pakti ya chumvi ya neel si sawa tu pia?
Daaah...! Kwani Majuto ndo Brand !? Akifa ?
Huwezi kuanza na distribution kabla ya awareness. Sisi sote hatujui amejipanga vipi kwa distribution, ni mapema mno kumkosoa kuhusu distribution. Yeye ni lazima anatumia model na theory fulani iliyofanikiwa katika biashara hii ya neel salt.Sijakataa kwamba haitakiwi kuifanyia chumvi promotion au kui brand chumvi.
Nilichojaribu kuonyesha na kuainisha ni budget waliotumia wakati huo huo hawajajiimarisha katika distribution na hawa clear exclusivity !
Tata salt ilikuwa chumvi ya kwanza ya iodine (Hiyo ni exclusivity)
Wanajitofautisha sokoni. Nimesema humu at least wangekuwa na exclusive product portfolio pia labda inge match na nguvu wanazo tumia.
Daaah....theory zako za ajabu ajabu sana. Ungetulia ufundishwe, hii ni fani kama fani nyingine.wakati wa sikuu mauzo ya soda yanaongezeka kwasababu ni kipindi ambacho watu wengi wanapata angalau soda moja au hata watoto 3 kugawiana soda moja tofauti na chumvi ambayo inaliwa na kila mtu kila siku siku zote. tuko watu 55,000,000 nchini kama kila mtu atakula 3g per day (kwenye chakula, nyamachoma, chachandu, maembe mabichi, mahindi ya kuchoma mijini, matango, mtori) ni sawa na kuuza chumvi kiasi cha 55,000,000 x 3g = 165,000Kg, sawa na tani 165 za chumvi kwa siku. Haya ni matumizi makubwa sana kuliko biashara ya sukari na soda zako ambazo wanywaji hawazidi hata 5m kwa siku hapa nchini.
....sasa unajua athari ya watu kjiita chumvi ya Majuto ?NeelKanth ndio brand. Majuto anaweza kubadilishwa hata kesho