Chunga kauli mtandaoni

Chunga kauli mtandaoni

TheGodfather95

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
1,763
Reaction score
1,830
Habari wakuu kuna trend ya watu kutishiana vitu mtandaoni bila kujali sheria ya Tanzania inasema vipi.
Unakuta mtu anasema hadharani kamlawiti flani mtandaoni na bado anachekewa kabisa hii haiko sawa kisheria adhabu ya ulawiti ni miaka 30 jela. Miaka 30 sio midogo kwanini upate adhabu ya miaka hiyo??na upoteze maisha na malengo yako kwa kauli za ajabu ajabu??

Mambo ya kulawitiana ndio yamekuwa na nguvu kwenye mtandaoni na wengi wanajipa vichwa hawatajulikana don't fool yourself asee bwana. Mance Mello hawezi kutetea walawiti atatoa info zenu bila wasiwasi.

Na kuna wengine wanatoa kauli za ajabu ajabu na bado namba zao zipo mitandaoni najiuliza ni uelewa mdogo wa sheria ama ni ukubwa wa kichwa kuwa na akili kidogo??

Kwenye miaka hii ambacho technology imepamba moto angalia kauli zako Internet haifuti kitu ukiandika Leo miaka kumi kitakuwepo na kitatumika kukufunga.
Kuweni makini na kauli zenu.

Jioni njema
 
JF ndio imebaki pekee vile unavyo weza kuandika unavyo jisikia. Kaandike Fb uone moto wake kesho yake tunakusikia uko kwa siro.
Hakuna lolote kule fb ukitaka udakwe umtukane Rais au viongozi waandamizi wa serikali, lakini mengine haya sijui utukane viongozi wa upinzani na mazaga zaga mengine hakuna atakugusa maana hao TCRA wanaangalia tu wanaomtusi bosi wao
 
Je, huku ukimtusi huyo boss wao?
Mimi nilizungumzia kule fb ulikosema kuwa TCRA wako active sana jambo ambalo siyo kweli.

Hapa Jf kuna kanuni zake ambazo ukienda kinyume post yako inaondolewa au unapigwa Ban, hivyo hapa kuona matusi ya watu ni ngumu maana kanuni zinazingatiwa
 
Fuatilia mkuu daily huyo boss wao wanamchana tena ile mbaya.
 
Habari wakuu kuna trend ya watu kutishiana vitu mtandaoni bila kujali sheria ya Tanzania inasema vipi.
Unakuta mtu anasema hadharani kamlawiti flani mtandaoni na bado anachekewa kabisa hii haiko sawa kisheria adhabu ya ulawiti ni miaka 30 jela. Miaka 30 sio midogo kwanini upate adhabu ya miaka hiyo??na upoteze maisha na malengo yako kwa kauli za ajabu ajabu??

Mambo ya kulawitiana ndio yamekuwa na nguvu kwenye mtandaoni na wengi wanajipa vichwa hawatajulikana don't fool yourself asee bwana. Mance Mello hawezi kutetea walawiti atatoa info zenu bila wasiwasi.

Na kuna wengine wanatoa kauli za ajabu ajabu na bado namba zao zipo mitandaoni najiuliza ni uelewa mdogo wa sheria ama ni ukubwa wa kichwa kuwa na akili kidogo??

Kwenye miaka hii ambacho technology imepamba moto angalia kauli zako Internet haifuti kitu ukiandika Leo miaka kumi kitakuwepo na kitatumika kukufunga.
Kuweni makini na kauli zenu.

Jioni njema
Kwa hiyo umefunzwa mtu akisema tu mtandaoni "nimeua" basi anakamatwa anashtakiwa na kuhukumiwa? Mtu kasema kalawiti ndio, lakini si kunatakiwa kuwa na ushahidi/mlalamikaji?
 
Hahahaha lakini humchana kwa mafumbo mkuu siyo moja kwa moja, ukimchana matusi kwa jina lake moja kwa moja lazima ule ban
 
shida kule fb wengi wanatumia majina halisi na watu ambao una wasiliana nao wanakufahamu! hapa jamii forum kudakwa sio kitu rahisi-pia kuna mods ambao wana control.
 
Habari wakuu kuna trend ya watu kutishiana vitu mtandaoni bila kujali sheria ya Tanzania inasema vipi.
Unakuta mtu anasema hadharani kamlawiti flani mtandaoni na bado anachekewa kabisa hii haiko sawa kisheria adhabu ya ulawiti ni miaka 30 jela. Miaka 30 sio midogo kwanini upate adhabu ya miaka hiyo??na upoteze maisha na malengo yako kwa kauli za ajabu ajabu??

Mambo ya kulawitiana ndio yamekuwa na nguvu kwenye mtandaoni na wengi wanajipa vichwa hawatajulikana don't fool yourself asee bwana. Mance Mello hawezi kutetea walawiti atatoa info zenu bila wasiwasi.

Na kuna wengine wanatoa kauli za ajabu ajabu na bado namba zao zipo mitandaoni najiuliza ni uelewa mdogo wa sheria ama ni ukubwa wa kichwa kuwa na akili kidogo??

Kwenye miaka hii ambacho technology imepamba moto angalia kauli zako Internet haifuti kitu ukiandika Leo miaka kumi kitakuwepo na kitatumika kukufunga.
Kuweni makini na kauli zenu.

Jioni njema
kwaiyo mtu akisema mtandaoni amemlawiti mtu flani anakuwa amelawit kweli without evidence mahakaman wanataka mtu akishtakiwa amelawiti anabid aje na aliyemlawit wote waongozane.
 
Kusema umelawiti tayari ni kosa kisheria sijui unajua hilo???
 
Kwa hiyo umefunzwa mtu akisema tu mtandaoni "nimeua" basi anakamatwa anashtakiwa na kuhukumiwa? Mtu kasema kalawiti ndio, lakini si kunatakiwa kuwa na ushahidi/mlalamikaji?
Ukisema umelawiti ni kosa kisheria! Utasema umelawiti hakuna mlalamikaji ila ikitokea wanaconnect dots utajikuta upo hatiani..!!!
 
Back
Top Bottom