CHUNGA KUTOA UHAI MTU KISA PESA

CHUNGA KUTOA UHAI MTU KISA PESA

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
KAMA UNATAFUTA PESA TAFUTA PESA,
MAOMBI OMBA AFYA NJEMA NA UONGOFU
1. PAMBANA UWEZAVYO PESA HAINA MWENYEWE NAWE UNAWEZA KUWA MILLIONEA.
2. MATAJIRI WANAUSISHWA NA USHIRIKINA KWA KUWA PESA IKO NA MAMBO MENGI, HII INAFIKIRISHA LAKINI SIO KILA TAJIRI ANAJIHUSISHA NA MAMBO YA KISHIRIKINA HAPANA.
👉 SIRI YA UTAJIRI NI KUTOA ASILIMIA FULANI KWENYE MALI ZAKO NA KUSAIDIA KWA WASIO JIWEZA NA KUTOA MISAADA KWA WAHITAJI SO JIULIZE WE UNATOA? NA HIYO NI NJIA SAHIHI YA KUKULINDIA MALI ZAKO NA KUKUZIDISHIA KUWA NA TAJIRI.
👉 MATAJIRI WANAOFANYA HIVI HAWAWEZ KUFIRISIKA IKO HIVO.
Imeandaliwa na Kimodomsafi
 
Mungu akamuuliza Kaini, "yuko wapi Ndugu yako Abeli? damu yake inanililia ardhini"

Chukulia Mtu ni Marehemu lakini damu yake inamlilia aliye Mungu Muumbaji Mkuu wa ulimwengu wote, sasa we ngumbalu mwenzangu utaepukana vipi na kisanga cha mauji ya roho ya Mtu ambaye hukumuumba?
 
Back
Top Bottom