Mungu akamuuliza Kaini, "yuko wapi Ndugu yako Abeli? damu yake inanililia ardhini"
Chukulia Mtu ni Marehemu lakini damu yake inamlilia aliye Mungu Muumbaji Mkuu wa ulimwengu wote, sasa we ngumbalu mwenzangu utaepukana vipi na kisanga cha mauji ya roho ya Mtu ambaye hukumuumba?