Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Kuishi kwa tahadhari na kuchunga sana usije ukawa chanzo cha machozi ya mtu mwingine ni miongoni mwa siri kubwa za heri hapa duniani.Sio mapenzi, sio pesa sio Nini, jitahidi sana chozi la mtu lisidondoke wewe ukiwa chanzo.
Una umiza hisia za mtu au watu, unajitapa we bingwa wa kuumiza watu kwenye mapenzi, una dhutumu una ibia watu una ua watu wanao tegemewa na familia zao, kisa pesa au kisa uonekane mzuri sana.
Una kutana na Mzee, anateseka sana unajiuliza huyu ujana wake alitumiaje, huyu mshikaji vipi, huyu ye kulia kila siku, shida haziishi, unakutana na mwanamke ye ni kuhangaika hasaidiki, madeni yeye, maradhi yeye unajiuliza shida Nini, baba, mama Kuna machozi ya watu huko nyuma, huwezi solve, tulia.
WHAT GOES AROUND, COMES AROUND.
Kwan kazungumzia wanawake tu mkuu au picha ndo zmekuchanganya??(5,684) Hata wanaume hulia | Page 5 | JamiiForums Tanzania Hata wanaume hulia
Kuna jamaa aliniambia, malipo duniani mbinguni hesabuKuishi kwa tahadhari na kuchunga sana usije ukawa chanzo cha machozi ya mtu mwingine ni miongoni mwa siri kubwa za heri hapa duniani.
Matendo yetu yanapomliza mtu asiye na hatia, tunajiweka kwenye hatari ya kukabiliwa na malipizi makali ya kidunia, ambapo ulimwengu hufanya kazi kama kioo..
kile ulichokipanda kwa wengine ndicho utakachovuna, na mara nyingi maumivu uliyosababisha hukurudia kwa namna na wakati usiotarajia.
Kiroho, kilio cha mtu aliyedhulumiwa au kuumizwa hupaa moja kwa moja hadi kwa Muumba, na kubeba uzito wa laana au kifungo cha kiroho kinachoweza kufunga milango yako ya baraka, amani, na mafanikio.
Hakuna mafanikio au furaha inayoweza kustawi ikiwa imejengwa juu ya msingi wa mateso na machozi ya nafsi nyingine, kwani malipo ya uonevu hayadanganyi, iwe ni hapa duniani kupitia majanga na upweke, au kiroho kupitia hukumu na kukosa amani ya nafsi.
Umeisoma mada ama umechangia heading ya link?Kwan kazungumzia wanawake tu mkuu au picha ndo zmekuchanganya??
Kuna malipo huenda mpaka kizazi cha tatu kupitia kizalia DNAKuna jamaa aliniambia, malipo duniani mbinguni hesabu
karma inafanya kazi kama sheria ya asili ya LinkedIn (Cause and Effect). Ukizoea kutenda mabaya, kusaliti, au kuumiza watu, unajenga mazingira ya uadui, unapoteza uaminifu, na unajaza akili yako hatia na hofu—mambo ambayo mwisho wa siku huleta "matokeo mabaya" katika maisha yako.Wazee wa nadharia za karma.
Mtu anachukua hati zako za nyumba anadai,mlijenga wote!Kulia lazima!Sio mapenzi, sio pesa sio Nini, jitahidi sana chozi la mtu lisidondoke wewe ukiwa chanzo.
Una umiza hisia za mtu au watu, unajitapa we bingwa wa kuumiza watu kwenye mapenzi, una dhutumu una ibia watu una ua watu wanao tegemewa na familia zao, kisa pesa au kisa uonekane mzuri sana.
Una kutana na Mzee, anateseka sana unajiuliza huyu ujana wake alitumiaje, huyu mshikaji vipi, huyu ye kulia kila siku, shida haziishi, unakutana na mwanamke ye ni kuhangaika hasaidiki, madeni yeye, maradhi yeye unajiuliza shida Nini, baba, mama Kuna machozi ya watu huko nyuma, huwezi solve, tulia.
WHAT GOES AROUND, COMES AROUND.
Karma is bitch kiongozi, isikie tu!Wazee wa nadharia za karma.
Nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne..Hamna lolote... Mbona tunalia mara kwa mara kuhusu viongozi waovu lakini ndio kwanza wanatusua huku sisi tukizidi kunyauka?
Kinachotakia ni wewe unaelia uchukue hatua za kuvitendo katika kuweka mambo sawa ili kilichokuliza kisikulize tena.
Bila hatua za kuvitendo waliokuliza watakuliza tena au kukuua kabisa 🤣🤣🤣
Nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne..
Maisha hayana formula.Karma is bitch kiongozi, isikie tu!