Chunga sana mtu asilie kwa ajili yako

Maisha hayapo fair Mkuu, watu waneua watu October 29, vita huko putin na trump wanaua watu tu hakuna kinachowakuta

Hii naona inafanya kazi kwa waafrica tu
 
Maisha ni vita na only strongest survive to the expense of the weak ndio formula, matajiri wakubwa wanaliza watu deile na wanaendelea kupiga mambo tu, hizo ni theories tu na Imani za kujifariji na mifano yote mnayotoa hamjaonyesha kama Ina direct relationship na hayo machozi mnayohusisha nayo!
 
Kuna jamaa kapo Teeth yeye ukipishana nae lugha tu, anakuchongea atatengeneza atakalotengeneza ili teeth wakufuatilie, na teeth wakianza tu kukufuatilia lazima kwanza wakuvunjie heshima kwa jamii yote inayokuzunguka na baada ya hapo wakuue.

Haka kajamaa tumekashitukia ila wale aliowafanyia hivyo ipo siku hata yeye yatamkuta, ameua watu wengi sana kwa kuwaripoti teeth wengine hawana hata hatia, ameacha watoto mayatima...yale machozi ya mayatima yamejibu Kwamba kuwa yeye ni Shoga wa kificho anapumuliwa kisogoni na teeth wanajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…