Chunga sana rafiki yako akipata nafasi atatembea na shemeji yake

Chunga sana rafiki yako akipata nafasi atatembea na shemeji yake

Kweli Baby sita nii!! yaani wewe jitahidi tu!...ako mutu mahali flani kwa kadri unavo taka, tena rahisi sana cha kufanya omba Mungu akuonyeshe! atakuja!! na roho yako hapohapo itasema nae! na ukiingia anga hizo kiroho kwatuuu!! ...

nasema Omba Mungu ikibidi funga kwa maombi! utashangaa!...
Mmmmh Hadi kufunga Tena😳hapana.
 
Tulivyowa chuo kuna mkaka nilikuwa namzimikia, nikawa namwambia rafiki yangu nampenda yule Kaka so akawa anafahamu Hilo.

Na huyo mkaka alikuwa ananipenda sema hakuwahi nitamkia kwasababu tayari nilikuwa na mtu wangu. Ila tukienda club lazima anifate tucheze wote,dalili nyingi zilionyesha ananizimikia kiaina.

Basi baada ya muda nikaskia anatoka na rafiki yangu dah iliniuma lkn sikuwa na jinsi maana tayari nina mtu wangu anaye tambulika. Maisha yakaendelea.

Tulivyoenda likizo nikawa nachat na huyo mkaka shemeji yangu kipindi hiko Simu za mkonini ndo zimeingia, nilikuwa na simu yangu Siemens C25 (wahenga wenzangu watanielewa).

Halafu kutuma msg ilikuwa free huitaji salio Wala bando so kuchat 24/7.

Tumechat weee tukaanza kuflirt kiaina nikamwambia hapa home Kuna mizinga ya konyagi mingi na hakuna wanywaji so nitakuletea zawadi.

Tulivyo fungua chuo nikabeba zawadi. Bahati nzuri sie third year tuliwahi kufungua chuo sikumbuki sababu ni nini, rafiki yangu alirudia mwaka so alikuwa mwaka wa pili.

Nikampelekea shemeji zawadi room kwake...my friend kilichotokea sisemi sana ila tulikulana balaa na tukaendelea miaka na miaka.
Rafiki yangu alikuja kusikia baadae sana nimeshamaliza chuo akaniuliza nikaruka mita 200 akaniamini.

Huyo rafiki yangu ni best yangu hadi Leo tumekuwa watu wazima na huyo mkaka hata nikimtafuta leo tutakulana tu ni vile sina tena mzuka wa hayo mambo.

Siku nyingine nitakusimulia jinsi alivyoendelea kuwa mchepuko wangu hata baada ya kuolewa..akaonekana na Mr (ambae ndo yule wa chuo aliyekuwa anatambulika) ananishusha kwenye gari yake. Gari ikabondwabondwa na yeye kutolewa mangeu na kufikia kufikishana polisi. Na pesa ya hospitali nikatoa na bado tuliendelea hatukuachana [emoji3][emoji3]. Kiufupi ni bonge ya mshkaji .
[emoji4]
IMG_20210520_020503.jpg
 
Nawaasa baadhi ya wanawake acheni tabia ya kukaa na mashosti zenu mnawahadithia namna (me) wako anavokut0mb@g@ utamu. Eti nanihii shosti angu baba anat0umber yuleeeeee eeheeeeeeeeee!!!!!! Yaani anakomba nyegge zote hadi kuum@ inabaki inapwita ukikaa mwenyewe ukikumbuka unabaki unacheka tu chaaah!

Watu wazima wenzangu nina hakika mmenielewa
Mi nmeelewa[emoji4]
 
Usishangae sana sii kwa ubaya huyo huyo best friend wako wa damu damu, ambae muda mwingi unapoteza nae, huyo huyo ambae shida zako nyingi anakusaidia kutatua kwa moyo wake wote.

Huyo huyo ambae ukibahatika kupata pisi kali au danga unakuwa wa kwanza kumpelekea umbea .Huyo huyo ambae ambae mkienda kula bata mnakaa meza moja unaondoka unaenda toilet unamuacha akulindie mzigo.

Moyo wa mtu unasiri asee hivi ulishawahi fikiria ile moment umeenda kumtambulisha mpenzi wako kwa rafiki yako that time wanasalimiana kwa kushikana mikono kwa mara ya kwanza huwa unahisi nini kinatokea kichwani mwao.??

Ebu tuwe wakweli hujawahi kwenda tambulishwa kwa mpenzi wa rafiki yako, ukajikuta umekufa umeoza kwa huyo shemeji yako...?? Ukiona rafiki yako kipenzi anakuuliza uliza hivi unampango gani na huyo jamaa/demu wako shituka mapema pengine anataka kupima kina cha maji.

Na kama ikitokea wamependana asee hakuna mchezo unaochezwa kwa siri kubwa kama huo ili kulinda urafikina fedhea ,yaani hata FBI na interpol wakija kupeleleza hawawezi pata ushahidi ,zaidi hata ya kuiba mkee wa mtu ,yaani error kutokea ni 0.0001perc

Ukiona wa dada ni marafiki saana wa muda mrefu ujue kunapossibility kubwa wameshagongwa na jamaa mmoja kwa nyakati tofauti na mmoja wao alimuiba kwa siri mpenzi wa rafiki yake. Hivyo hivyo kwa boys marafiki wawili kuchezea tundu moja sio jambo la kushangaza na hapo mmoja wao ni anamuibia mwezie.

Ushauri kama una mpenzi wako una ndoto za kufika nae mbali ukiwa unapiga story zake kwa marafiki zako usimu underrate ukasemaa aah yule napiga tu siku ziendee, au yule namchuna zikiisha nasepa aloo itakuja kula kwako utapigwa tukio huto amini.

Najua kuna wengi hawato amini sababu ya usiri mkubwa wa hilo jambo ila amini kwamba ndugu.
Duuh
 
Tulivyowa chuo kuna mkaka nilikuwa namzimikia, nikawa namwambia rafiki yangu nampenda yule Kaka so akawa anafahamu Hilo.

Na huyo mkaka alikuwa ananipenda sema hakuwahi nitamkia kwasababu tayari nilikuwa na mtu wangu. Ila tukienda club lazima anifate tucheze wote,dalili nyingi zilionyesha ananizimikia kiaina.

Basi baada ya muda nikaskia anatoka na rafiki yangu dah iliniuma lkn sikuwa na jinsi maana tayari nina mtu wangu anaye tambulika. Maisha yakaendelea.

Tulivyoenda likizo nikawa nachat na huyo mkaka shemeji yangu kipindi hiko Simu za mkonini ndo zimeingia, nilikuwa na simu yangu Siemens C25 (wahenga wenzangu watanielewa).

Halafu kutuma msg ilikuwa free huitaji salio Wala bando so kuchat 24/7.

Tumechat weee tukaanza kuflirt kiaina nikamwambia hapa home Kuna mizinga ya konyagi mingi na hakuna wanywaji so nitakuletea zawadi.

Tulivyo fungua chuo nikabeba zawadi. Bahati nzuri sie third year tuliwahi kufungua chuo sikumbuki sababu ni nini, rafiki yangu alirudia mwaka so alikuwa mwaka wa pili.

Nikampelekea shemeji zawadi room kwake...my friend kilichotokea sisemi sana ila tulikulana balaa na tukaendelea miaka na miaka.
Rafiki yangu alikuja kusikia baadae sana nimeshamaliza chuo akaniuliza nikaruka mita 200 akaniamini.

Huyo rafiki yangu ni best yangu hadi Leo tumekuwa watu wazima na huyo mkaka hata nikimtafuta leo tutakulana tu ni vile sina tena mzuka wa hayo mambo.

Siku nyingine nitakusimulia jinsi alivyoendelea kuwa mchepuko wangu hata baada ya kuolewa..akaonekana na Mr (ambae ndo yule wa chuo aliyekuwa anatambulika) ananishusha kwenye gari yake. Gari ikabondwabondwa na yeye kutolewa mangeu na kufikia kufikishana polisi. Na pesa ya hospitali nikatoa na bado tuliendelea hatukuachana 😀😀. Kiufupi ni bonge ya mshkaji .
Aseeeee kazi ipo
 
Hapana sikubahatika kuzaa nae😀
Mmh i doubt we ulijuaje? Au ulipima dna kwa siri siri bila mumeo kujua ukahakikisha watoto wote ni damu ya mumeo!?

You never know damu ni nzito sana kuliko maji
 
Mmh i doubt we ulijuaje? Au ulipima dna kwa siri siri bila mumeo kujua ukahakikisha watoto wote ni damu ya mumeo!?

You never know damu ni nzito sana kuliko maji
Watoto wangu wamefanana na baba yoa, hakuna haja ya DNA.
 
Back
Top Bottom