Chunga sana rafiki yako akipata nafasi atatembea na shemeji yake

Mmmmh Hadi kufunga Tena😳hapana.
 
[emoji4]
 
Mi nmeelewa[emoji4]
 
Duuh
 
Aseeeee kazi ipo
 
Hapana sikubahatika kuzaa nae😀
Mmh i doubt we ulijuaje? Au ulipima dna kwa siri siri bila mumeo kujua ukahakikisha watoto wote ni damu ya mumeo!?

You never know damu ni nzito sana kuliko maji
 
Mmh i doubt we ulijuaje? Au ulipima dna kwa siri siri bila mumeo kujua ukahakikisha watoto wote ni damu ya mumeo!?

You never know damu ni nzito sana kuliko maji
Watoto wangu wamefanana na baba yoa, hakuna haja ya DNA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…