Chunga sana rafiki yako akipata nafasi atatembea na shemeji yake

Asee
 
Hahaha hizo ndoa zenu zina shida sana
 
Be calm To yeye aseee
 
Faza hausi alinimaindi sababu nlimfukuzia wapangaji wake kisa nliwachanganya wote walikua ni marafiki sana lakini baada ya kuhama kila mtu kaenda kukaa kivyake na nmewaacha wote nasubiri wapangaji wapya
Hahaha
 
Hahaha hapo mlikuwa mnashare malaya tu hamna lolote
 
wood, post39153431, member: 618918"]
Usishangae sana sii kwa ubaya huyo huyo best friend wako wa damu damu, ambae muda mwingi unapoteza nae, huyo huyo ambae shida zako nyingi anakusaidia kutatua kwa moyo wake wote.

Huyo huyo ambae ukibahatika kupata pisi kali au danga unakuwa wa kwanza kumpelekea umbea .Huyo huyo ambae ambae mkienda kula bata mnakaa meza moja unaondoka unaenda toilet unamuacha akulindie mzigo.

Moyo wa mtu unasiri asee hivi ulishawahi fikiria ile moment umeenda kumtambulisha mpenzi wako kwa rafiki yako that time wanasalimiana kwa kushikana mikono kwa mara ya kwanza huwa unahisi nini kinatokea kichwani mwao.??

Ebu tuwe wakweli hujawahi kwenda tambulishwa kwa mpenzi wa rafiki yako, ukajikuta umekufa umeoza kwa huyo shemeji yako...?? Ukiona rafiki yako kipenzi anakuuliza uliza hivi unampango gani na huyo jamaa/demu wako shituka mapema pengine anataka kupima kina cha maji.

Na kama ikitokea wamependana asee hakuna mchezo unaochezwa kwa siri kubwa kama huo ili kulinda ur
 
uko sahihi 100%
Nilishawahi kugonga madem kadhaa, hata idadi sikumbuki ambao ilitokea baada ya yule wa mwanzo kusimulia mwenzake mahusiano yetu au show niliyompiga. Kumbe wanapataga wivu au hizo show labda aliye naye hampi. so anakuja kulipizia.
Pia nilishawahi kumtega rafiki yangu akanasa mtegoni. Nilikuwa na pisi yangu kali sana tena ya kienyeji. Sasa kuna muda tukatengana kidogo. Jamaa yangu akawa anakuja kunidodosa vipi mbona siku hizi hamwoni shemeji, nikamwambia nishambwaga. Jamaa kumbe akampigia dem wangu kusaka umbea. Sasa mimi nilishamset dem kwamba J anakuulizia. Akikupigia mwambie mm nimekuacha uone atakavyokujibu. Kweli jamaa kajichanganya, akamwambia dem wangu, aaah, wakizira wengine sisi tule... akimaanisha kama mm nimemwacha basi dem amkubalie waanzishe mahusiano ila yawe ya siri mimi nisije kujua. Dem akajakunipa feedback akawa ananitumia sms ambazo jamaa anamtumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…