Chunga vitu vyako ukiacha ovyo vinaweza kukugarimu na kukuhalibia maisha yako

Kwani hii dunia ni yetu? Hatuishi milele
 
Hao wachawi wakikuharibia wao hupata faida gani in returning.?
Akuna mkuu chchote wanacho pata ni ujinga wao tu na kutojitambua,yaan ww unavyo teseka na maisha wao ndio uraha Yao unakuta anasema una mwona flan anahangaika na maisha nimemkomesha si alikua anaringa,anajiskia nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…