Chunga vitu vyako ukiacha ovyo vinaweza kukugarimu na kukuhalibia maisha yako

Hujasaidia sasa umakini upi wakati lazima nitembee?
Asee mkuu mgumu kuelewa eeeh πŸ˜…πŸ˜…πŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈ
 
Kuwa na salon moja permanent nako ni hatariiiii. Watu wa kwenye ma salon ndio ma agent wa kukusanya nywele na kucha. Mi ilinitokea ila nilishtuka na kulianzisha wakatajana mpaka aliewatuma😑😑
Tupe ushuhuda mkuu kilitokea nn πŸ˜‚πŸ˜‚ mana Kuna watu wanaudharau huu Uzi wanajua chai SI unajua majobles Tena Kila kitu kupingaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nafikiri mtu ujiamini wewe mwenyewe bila kutegemea nabii ama mchungaji na wengine wengi ili kuweza kushinda hiyo vita inayopiganwa dhidi yako,maana vita kubwa inatokana na mawazo yako pamoja ufahamu wako kuhusu mambo yalivyo,ukishindwa kuyachuja mawazo yako ndiyo unakuta mtu anakuwa na fikra ambazo hazipo,yaani anachowaza hakipo na wala hakitakaa kitokee. Ukiweza kuyashinda mawazo yako kwa kutenda sawa na NENO LA MUNGU utakuwa tayari unaanza kutoka katika gereza lisiloonekana.
NB:Huu siyo mchakato wa siku moja mbili tatu,hapana. Hii inakutaka ujichunguze tabia na matendo yako kila siku ili kuweza kujuwa ni wapi roho wa iblisi anapitia.
 
Adui akinuia kukumaliza atakumaliza tu.
Kama mtu anaweza kukuroga kupitia jina, sasa utazuiaje, utabatizwa upya kimyakimya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…