trouble maker
Member
- Jan 24, 2017
- 62
- 58
CHUNGU LAKINI DAWA
Kama hana bikra usimuoe, achana naye. Tafuta mwenye bikra ujichukulie mwali.
Kama hana bikra usitoe mahari kama umeamua kuoa. Toa mahari kwa mwanamke uliyeikuta bikra kwake. Mtu hana bikra unatoaje mahari.
Kama hana bikra usifanye harusi. Harusi ni kwa mwanamke mwenye bikra. Mtu hujakuta bikra unafanya harusi ya nini. Uliona wapi kitu kilichotumika kikifanyiwa sherehe. Kitu kipya ndio hufanyiwa sherehe. Kitu chakavu hakifanyiwi sherehe. Hata majengo mapya huzinduliwa kwa sherehe na kuwekewa jiwe la msingi. Uliona wapi jengo lililotumika likifanyiwa sherehe na kuzinduliwa. Yaani vijana wa siku hizi Washamba sana. Yaani uchukue mwanamke katumika wewe uje umzindue na kuweka jiwe la msingi kwa sherehe? Daaaah! Vijana Bhana. Kizazi cha sasa hivi hakijui kutofautisha mambo ya sherehe na yasiyo na sherehe.
Kama hana bikra na umeamua kumuoa basi mchukue ukaishi naye tuu kama kuku na jogoo. Hakuna haja ya sherehe wala harusi,
Akikuuliza kwa nini hatufanyi harusi au kufunga ndoa mwambie kwa sababu sijakuta bikra. Au mwambie mbona sikuuliza kuwa kwa nini sijakuta bikra kwako. Mwambie kama wewe ulivyokubali kumchukua bila bikra ndivyo naye akubali kuishi nawe bila kutolewa mahari, kufunga ndoa wala harusi.
Kama hukukuta bikra hupaswi kumuita mke wako bali mke wenu. Moja ya sifa muhimu ya mkie wako ni kuikuta bikra. Bidhaa uliyoifungua sildi ni mali yako. Lakini uliyoikuta kwenye matumizi hiyo ni mali ya Umma.
Kama hukukuta bikra usijiamini sana. Huenda funguo yako ikawa haifungui mlango wake ukafunguka. Huenda mlango wake ni mkubwa kutokana na kufunguliwa na funguo kubwa. Kamwe usimuamini mwanamke ambaye ulioa bila bikra.
Kama hana bikra usiogope laana yoyote kutoka kwake. Wala usiogope anaposema umemuhairbu. Kwa maana aliyeitoa ndiye alimuharibu. Wewe unachokifanya ni kufanya muendelezo. Mwanamke asiye na bikra hana laana wala hana baraka katika mdomo wake.
Kama hana bikra hata akikunenea mazuri usiyakubali. Hakuna baraka katika kinywa chake. Huyo hana la kukuambia ukafanikiwa. Kwa ujumla hana athari. Mwanamke uliyemkuta bikra mugope kama Saratani. Mwenye bikra anaweza kukubariki au kukulaani na vikashika.
Wanaume wengi siku hizi wanalaana za wanawake waliowatoa bikra. Wote waliowaumiza wanawake wenye bikra hukutwa na mikosi na maisha yao huwa yenye njia ngumu mno. Lakini waliozitumia bikra kwa namna nzuri kama kusafishia nyota wamefanikiwa mno.
Kama hana bikra usimletee zawadi. Kama yeye hakukupa zawadi kubwa kama bikra yeye hastahili kupewa hata pipi ya Ivory.
Kama hana bikra kila ukikutana naye unapaswa ufunge na kuomba siku tatu ukitakasa na mikosi na majanaba ya mwanamke huyo. Watu wengi hawajui kuwa kufanya uzinzi na mwanamke ambaye hana bikra ni kujitafutia mikosi na majanaba.
Kama hana bikra asikuzalie watoto. Vitoto vitakavyotoka hapo vinaitwa vitoto vya zinaa. Vitakuwa vinawaza ngono kila iitwapo leo. Sio vijiweni, sio shuleni, sio nyumbani yaani kila kitu kwa watawaza ngono. Yaani ukoo au jamii utakayoiunda itakuwa jamii ya ngono ngono.
Mwanamke atawaza wanaume, wanaume watawaza wanawake. Yaani muda wote zinaa.
Hakuna mtoto wa malaya akaleta la maana duniani zaidi ya kuharibu dunia. Haijawahi tokea na haitakuja kutokea. Kama hatakuwa malaya, atakuwa muumiza wanawake na kuzini zini hovyo hovyo, kama hatakuwa shoga basi atakuwa msagaji.
Kizazi cha sasa hakijui thamani ya Bikra ndani ya ndoa ndio maana kinashangaa vitoto vidogo vikiwaza uasherati tuu. Mara kibamia, mara mashine, mara kuongeza makalio, mara kuongeza matiti, mara kuongeza Uume, mara kuongeza uwezo wa kufanya ngono.
Hizo ni athari za kupitia kwenye mlango usio msafi. Watu wanawaza siku hizi kufira alimaarufu kama kula tigo. Yaani ndio mambo ya kujichukulia wanawake wasio wasafi.
Wapo wengi watakaokuja hapa kusema kuwa mbona nawashambulia wanawake. Jibu ni kuwa wanawake ndio wanapata athari ya moja kwa moja kabla ya jamii.
Pia Wanawake ndio wanaleta watu duniani. Embu fikiria mtoto wako apite kwenye uke uliopita mbooolo zaidi ya kumi. Uke uliomiminiwa uchafu wa kila namna. Ndio mtoto wako apitie hapo kweli aje duniani. Dooh! Kwa kweli haipendezi na inaleta athari.
Kwa ambao hamjaoa, hakikisha hutaoa mwanamke asiye na bikra. Piga ua garagaza usiharibu uzao wako.
Nawapongeza wadada wote mlionifuata inbox ya hii page na whatsapp mkaelezea hisia zenu. Hasa wale walionambia wanabikra. Nawaombea kila la kheri mkutane na wanaume wanaojua thamani ya mwanamke. Kama mtu hajui thamani ya bikra kamwe hawezijua thamani ya mwanamke mwenyewe na kizazi chake.
Angalizo; Usilete usasa kwenye ishu ya uzao wako. Hakikisha uzao wako ni mtakatifu katika ulimwengu ulioharibika.
Mwanamke fahamu kuwa zawadi yako kwa mumeo ni BIKRA yako tu hakuna kingine, utakapoonekana na mumeo kuwa ww ni bikra atakushukuru kwa machozi, akupigia magoti, atakunyenyekea, atakuhurumia kwa kila makosa utakayo yatenda atakusamehe kwani hakuna kosa litakalo vuka thamani ya bikra utakayompa, atakuheshimu na kukuamini kwa kila namna, na atakusikiliza kwa kila utakachomwambia kwani kipimo cha uaminifu kwako kimekuwa zaidi ya tegemeo lake.
Hebu sasa soma kwa umakini unielewe hapa.
Usizini na mchumba daima, amini kuwa atakudharau na kukushusha thamani yako na pengine kukuacha mara baada ya kukutumia na kama hautaamini subiri mpe au kama ulishaanza kumpa endelea hakika Utaniambia kama atakuoa....
Kama unaye mchumba au utakapokuwa kuwa naye, basi akija siku na kukwambia mzini makatalie, kwa kuwa imeandikwa "ikimbieni zinaa" basi aking'ang'ania kimbia humo nyumbani, kama amefunga mlango, piga kelele watu wakusaidie uokoke na hiyo dhambiii na kama amedhamiria mng'ate ikibidi ikiwa umefanya jitihada hizo na ukaokoka na hiyo dhambiii daima atakuheshimu na kukubali kuwa ww ndiye mwanamke mwenye sifa ya kuwa mwanamke wa mwanamume mcha Mungu.....
Usimpe shetani uwanja wa kukujaribu kwa dhambiiiiii hii, kwa kumvalia mchumba nguo fupi, suruali, vi top au vimini nk.
Na atakapokuwa pasipo kuzini naye ndoa itakuwa na amani na furaha ya ajabu....
Wengine watakapolia na ndoa zao ww na mumeo mtakuwa mkicheka kwa furaha isiyokifani kwani ana kuamini kwa kila unachokifanya hakika.
Binti usitishike na maneno yake simamia amri kumi za mungu, kwani mungu Ameahidi kuwa hatamuacha aliyemwaminifu kwake....
Amri ya saba inasema usizini kwani haifahamiki?
Amekutumia umechoka, atakuacha na unaweza kutoolewa jumla halafu baadae utaanza kufunga na kuomba eti Mungu akupe mwanamume, kwani wakati unazini haukukumbuka kuwa Mungu yupo na anaiona hiyo dhambiiiiii?
MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUT HIVYO UKISHAZINI NDOA INAKUWA CHINI YA MWOVU NA SI MUNGU TENA.
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Mithali 6:32