Chungu lakini dawa {kwanini BIKRA ithaminiwe kabla ya ndoa}

OFF Point...nimekuuliza wewe bikra unayo? Kwanza ninyi vijana wa sasa mnapaswa kutambua kwamba pema usijapo pema, ukipema si pema tena. Kwa kukusaidia tu ni kwamba mahala popote huwa pazuri endapo hujawah kwenda, ukishaenda mara kwa mara uzuri wake huisha.
sasa ninge toa maada ya nini kama mimi siyo mmoja wao naeleza kitu ninacho kielewa
 
Kuelewa na kuwa nayo vi vitu viwili tofauti kwanza mdomoni kwenyewe unaonekana haipo maana si kwa kichambo hiki...kwanza kuwa bikra sio bahati ni ukosefu tu wa fursa!
 
😱😳😳

😡😡😡😡😡😡😡🙄😵😵😵 mungu anakuona
 
Kwamaana hiyo mkuu hakuna kijana atakayeoa maana hakuna bikra tena mitaani.
 
hapana katikati ya uchafu lazima kiwepo kisafi kimoja na lengo la uzi huu ni ku waasa mabinti wasije chezea utu wako kwa wbabaishaji na maani kunawanao jielewa na walio lelewa kwenye maadili na kujua nini maana ya bikra zao kwa mumewe
 
Mkuu kuna ile unamuona binti flani mstaarabu amelelewa malezi mazuri na nini sasa ukisema huyu afadhali utakayo kutana nayo bora hata kwa wale micharuko wanaojulikana.
 
Yasemwayo yapo, nilipata kusikia wenzetu wa upande wa pili wa muungano wa kimapinduzi binti zao wanalinda sana mlango mkuu ili wasiwaangushe mashangazi watapoolewa ila mlango wa banda la uani huo ruksa hata nguchiro kupita maana ndo mlango wa wageni!
 
Zama zimebadilka sasa si km zamani
Mama zetu waliolewa bikra since waliolewa ktk umri mdogo tofauti na sasa mtu unachinia tu nyumbani kusubiri mme

Sent using Jamii Forums mobile app
Na nasikia bikra kongwe kuilainisha hadi ikubali kutoka ni sawa na kumchinja kumchemsha jogoo mstaafu ambaye ngozi yake ishakuwa sehemu ya mifupa!
 
Back
Top Bottom