Chunguza alama zilizopo barabarani au kwenye majengo ili kubaini Uhalisia wa eneo katika Picha au Video

JamiiCheck

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
245
Reaction score
267
Picha au video inaweza kudaiwa kurekodiwa sehemu tofauti na eneo halisi, jambo linaloweza kusababisha upotoshaji unaoweza kuibua taharuki katika jamii.

Ili kubaini Uhalisia wa eneo, chunguza alama zilizopo barabarani na majengo kwani zinaweza kuonesha utambulisho wa eneo husika.
 
Uzi wako umeegemea kwenye kitu gani?
 
Back
Top Bottom