Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Mhhh naomba na mimi uniingize kwenye hiyo ahadi.mweee ntakavyokupm kabla sijatoka labour nikanunue kibenseni cha pink.
hahahaaa!!hongera bi dada,bila shaka ushaingizwa kwny ahadi
nitajaribu kufanya hivyo coz kwa sasa nipo home tu,haitakua
shida kunawa mara nyngi kadiri niwezavyo!!
 
hahahaaa!!asante kwa utabiri KakaJambazi
mungu asaidie nitoke kwny hili salama!!

Mkuu usihofu, utatoka salama tu. Mungu yuko pamoja nawe. Huwa nafurahi ninapomuona mama mjamzito akitembea na katumbo kake safi kabisa lakini kichwani nafikiria mambo mengi sana. God bless the women who are ready to allow their wombs to carry the fetus..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu usihofu, utatoka salama tu. Mungu yuko pamoja nawe. Huwa nafurahi ninapomuona mama mjamzito akitembea na katumbo kake safi kabisa lakini kichwani nafikiria mambo mengi sana. God bless the women who are ready to allow their wombs to carry the fetus..
asante sana @nyalots,mungu mkubwa
nina imani nitamaliza salama!!
 
Nahtaj msaada nasumbuliwa na chunus na makovu meus kwenye sura yangu nitumie nn,nahtaj majibu mazur tafadharin nduguzang.napenda nguz yangu iwe nyororo.
 
Nahtaj msaada nasumbuliwa na chunus na makovu meus kwenye sura yangu nitumie nn,nahtaj majibu mazur tafadharin nduguzang.napenda nguz yangu iwe nyororo.

KARANGA TIBA YA KUONDOWA CHUNISI USONI.


TIBA.1


1. Karanga Zinaondoa Chunusi Usoni na kuufanya Uso kuwa Laini na kuleta uzuri wa Sura.


Chukua kijiko kimoja kidogo changanya na kipimo sawa cha juisi ya ndimu Au limao halafu unapaka kila siku Usoni kabla ya kulala.

TIBA.2

KUONDOA MAKOVU YA CHUNUSI.

1. Paka bleach cream kwenye sehemu zenye makovu, cream hii husaidia kuondoa makovu.

2. Tumia ambayo huondoa ngozi ya juu (exfoliate) kwa kupaka kwenye sehemu zenye makovu kama usoni na kwingineko ambako ni rahisi kupaka. Unaweza kufanya zoezi hilo angalau mara mbili kwa wiki.

3. Tumia bidhaa ambazo zina hydroxyl acids`, hutibu ngozi yako na itaonekana nyororo. Unaweza kupata hydroxyl acids tofautitofauti za ngozi (skin care products) kama vile cleansers na lotion.

4. Pia unaweza kuyafanyia masaji makovu ya chunusi ili kuvunja mafuta yaliyoganda ambayo huleta chunusi.

5. Fanya unatakiwa kula vyakula vyenye vitamin na nutrition, vinasaidia kutengeneza ngozi yako kuwa na afya.
 
Mimi ni mwanamke mwenye miaka kadhaa,ninasumbuliwa na tatizo la vichunusi vidogo vidogo mgongoni,kifuani na kwenye mabega.Sijajua tatizo ni kuwa hormones nimeconcentrate maeneo hayo au inakuwaje,

Naomba ushauri nifanyeje viweze kuisha?
 
Muone daktari wa ngozi,madawa yapo,doctor ndo atajua utumie nini na kwa kiwango gani
 
Jamani wadau nina tatizo la chunusi mpaka nakosa confidence.

plz mwenye dawa naomba msaada.
 
mkojo wako ndo dawa yake chakufanya kila uamkapo na ulalapo unajiosha usoni au uwe unatumia maji ya uvuguvugu yakiwa na mchanganyiko wa chumvi na kila uogapo tumia sabuni ya magadi kwa muda wa mwezi mmoja unashine
 
dawa ni rahisi sana ni siku mbili tu uso safi chukua ndimu majimaji yake paka usoni mara mbili au tatu kwa siku osha kabla ya kupaka na sabuni kisha leta mrejesho hapa
 
dawa ni rahisi sana ni siku mbili tu uso safi chukua ndimu majimaji yake paka usoni mara mbili au tatu kwa siku osha kabla ya kupaka na sabuni kisha leta mrejesho hapa

Sawa ntajarb kuanzia leo.kwa hyo ctapka chochote zaid ya ndm??
 
jf doctor pitia! Afu yangu hii hapa chukua unga wa soda magadi na amira changanya kisha tupia utakuwa soft.......
 
Angalia ngozi yako kama ni ya mafuta au isiyo na mafuta na utafute mafuta ya kupakaa kwa mjibu wa ngozi yako, ukipata mafuta ya nazi ya asili ni mazuri kwa ngozi yoyote. Mhimu ni MAJI, kama haunywi maji ya kutosha kila siku halafu ukawa unakunywa vinywaji na kula vyakula vyenye taka nyingi au sumu basi usitegemee kupona chunusi. Kunywa maji katika joto la kawaida hadi lita 3.7 katika masaa 24 na pia ujishughulishe na mazoezi.
 
nitarudi wakalimani wakipita hapa...

hata mie nawangoja

we umecopy wapi? ebu tuandikie vizuri bana, au hujui kama kuna wadau!
mwallu njoo umtajie dawa rahisiiiii ya chunusi....

me nilichokielewa hapo ni garlic tu...
Mumekimbia shule jamani? Kiingereza kimekuwa kwenu kigumu namna hiyo jamani?

Dawa ya chunisi usoni Fanya hivi:

Kuandaa Dawa ya chunusi na kuweka kwa kuchanganya kiasi sawa ya vitunguu Saumu, Manjano, Majani ya Mwarobaini na majani ya Mrehani na matone kadhaa ya maji. kupakaa hiyo Dawa sehemu iliyoathirika na chunusi, mara mbili kwa siku kila siku.
 
Back
Top Bottom