inspector laddy
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 761
- 258
hahahaaa!!hongera bi dada,bila shaka ushaingizwa kwny ahadiMhhh naomba na mimi uniingize kwenye hiyo ahadi.mweee ntakavyokupm kabla sijatoka labour nikanunue kibenseni cha pink.
hahahaaa!!asante kwa utabiri KakaJambazi
mungu asaidie nitoke kwny hili salama!!
asante sana @nyalots,mungu mkubwaMkuu usihofu, utatoka salama tu. Mungu yuko pamoja nawe. Huwa nafurahi ninapomuona mama mjamzito akitembea na katumbo kake safi kabisa lakini kichwani nafikiria mambo mengi sana. God bless the women who are ready to allow their wombs to carry the fetus..
Nahtaj msaada nasumbuliwa na chunus na makovu meus kwenye sura yangu nitumie nn,nahtaj majibu mazur tafadharin nduguzang.napenda nguz yangu iwe nyororo.
Muone daktari wa ngozi,madawa yapo,doctor ndo atajua utumie nini na kwa kiwango gani
dawa ni rahisi sana ni siku mbili tu uso safi chukua ndimu majimaji yake paka usoni mara mbili au tatu kwa siku osha kabla ya kupaka na sabuni kisha leta mrejesho hapa
nitarudi wakalimani wakipita hapa...
hata mie nawangoja
we umecopy wapi? ebu tuandikie vizuri bana, au hujui kama kuna wadau!
mwallu njoo umtajie dawa rahisiiiii ya chunusi....
Mumekimbia shule jamani? Kiingereza kimekuwa kwenu kigumu namna hiyo jamani?me nilichokielewa hapo ni garlic tu...