Habari za kazi wanajamii!
Bila shaka kazi zinakwenda vema kama zilizyopangwa na pale ambapo hazijakwenda vema tusiwe na shaka ni mojawapo tu ya changamoto katika maisha na hatuna budi kuyapokea yote kwa wakati mmoja na kufanyia kazi.
Hiyo ilikuwa ni salamu tu na baada ya hapo nataka niwape mbinu ya namna ya kupambana na maradhi ikiwepo maradhi ya ngozi ambayo hufanya ngozi kupoteza mwonekano wake mzuri wakati mwingine. Tumekuwa tukitumia njia nyingi kupambana na tatizo la ngozi wakati mwingine bila kufahamu kama njia ni sahihi au laa. Hapa chini kuna maelezo mazuri ya namna ya kupambana na tatizo la afya kwa upande huo na kuifanya ngozi yako ionekane nyororo na yenye mvuto. Fuatilia hizi bidhaa muhimu kwa makini ili uweze kuupata uelewa pia kumwelewesha na mwingine.
MAGILIM
Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;
- Seamen cassie
- Cassia bark
- Mullberry leaver
- Fago fyrum tataricum
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;
- Maji ya nyongo
- Nguvu ya mwili(glucose)
- Uric acid
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ****** na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
- Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.
KAZI YA MAGILIM
- Kupunguza uzito na unene
- Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
- Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
- Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
- Kutoa sumu mwilini
- Kutoa chunusi mwilini
- Kutibu matatizo ya tumbo
CORDY ROYAL JELLY
Bidhaa hii imetokana na mmea wa cordy ceps sinensis na Royal jelly.
Royal jelly Inatokana na chakula maalum cha malkia wa nyuki.
FAIDA ZA CORDY ROYAL JELLY
- Ina vitamin A,B,C,D,E na K ni chakula kilichokamilika.
- Inaondoa cholesterol
- Inaimarisha mfumo wa damu mwilini.
- Ina faty Acid
- Inaongeza nguvu na kutoa uchovu na kutoa sumu mwilini
- Inakufanya usizeeke haraka(anti aging)
- Kulainisha ngozi na kufanya ngozi kuwa nzuri
- Inafanya damu kuwa nyepesi
- Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
- Kuweka kiwango cha mafuta na cholesterol sawa.
- Mafuta yaliyoganda kuzunguka moyo na kwenye mishipa ya damu huyeyusha na kulainisha mishipa ya damu.
REISHI
Bidhaa hii inatokana na uyoga mwekundu unaotoka Asia ya mashariki, China, Japan. Uyoga(Ganoderma licidum) unaaminika sana Asia ya mashariki kuwa ni mmea ambao unawapa urefu wa maisha.
FAIDA YA REISHI
- Kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
- Inapunguza kasi ya kuzeeka
- Inaimarisha utendaji kazi wa moyo
- Inaondoa uchovu mwilini
- Inaimarisha ubongo,kumbukumbu na usikivu
- Inatibu presha ya kushuka
- Inatibu vidonda vya tumbo
- Inatibu pumu, allegy
- Inasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kukupa usingizi mzuri
- Inapambana na maambukizi ya bacteria na fungus
- Inasaidia mwili kujikinga na kansa
- Inatibu matatizo ya candida
Hizo products ni muhimu sana kwa ajili ya afya ya ngozi. Kwa yeyote mwenye swali au kutaka ushauri anaweza kunipigia kwa namba 0776491294 pia anaweza kunitumia barua pepe kupitia
ishealthy@hotmail.com
Atakayekuwa anahitaji gharama ya MAGILIM ni 62500/- , CORDY ROYAL JELLY ni 60000/- na REISHI ni 85000/- tu