Ni pm nikupe njia za kupona kabisa.
nitumie pm nikuandikie dawa ila sijui kama inapatikana bongo
Habari zenu wakuu.
Mwenzenu ninatatizo la chunusi toka kuvunja ungo mpaka sas nina miaka 29 sijawahi kuw na raha na uso wangu.msaada jaman anaejua dawa maana umri huu ngozi mbaya kama kenge.mbaya zaidi yanatoka makubwa kama majipu.msaada tafadhadi.
Tumia Bio-oil yapo maduka ya dawa
Habari zenu wakuu.
Mwenzenu ninatatizo la chunusi toka kuvunja ungo mpaka sas nina miaka 29 sijawahi kuw na raha na uso wangu.msaada jaman anaejua dawa maana umri huu ngozi mbaya kama kenge.mbaya zaidi yanatoka makubwa kama majipu.msaada tafadhadi.
Nenda kwa dermatologist kuna dawa absorica hii ni kiboko ya acne sugu
Asante kaka ni dawa nyingi kwakwel na za asil zote nshaenda hospital had dk wa ngozi pale AICC Arusha badoo.labda nipate huyo dermatologyTatizo la zaidi ya miaka 10 ukilielezea kwa sentensi tatu...hakuna daktari anayeweza kutatua. Umeshawahi qkutumia dawa? Dawa gani? Kwa muda gani? Unatumia mafuta/lotion aina gani? Unaona yana trend Fulani..yaani kuna muda zinaongezeka na kuna muda zinapungua? Umeshawahi kufanya kipimo cha hormones?....maswali mengi yapo. Nakushauri nenda kwa Dermatologist akuone, akuulize maswali, afanye necessary test...kasha akushauri matibabu. Wengi tu washapona hilo tatizo. Naweza kukutumia namba ya Dermatologist kwa PM.
nilichogundua katika ngozi yangu bifhaa za ndimu au limau au cocoa navimba zaidi.nikila vitu vya sukal soda au maji ya kopo navimbaa zaidi yale machunusi hayana kitu ila linavimbaa na kuacha scars zisizoisha.Nawia maji ya ndimu tupu ukiweza au paka ndimu kila asubuhi kaa SAA nzima nawa paka mafuta ya nazi tuu , jaribu hiyo kwa wiki moja kisha niambie
Kama wewe ni demu niPM
yaaap mafuta ya nazi ndo bidhaa yangu situii aina nyngne yeyote.natumia yaliyotrngenezwa kienyeji.Nawia maji ya ndimu tupu ukiweza au paka ndimu kila asubuhi kaa SAA nzima nawa paka mafuta ya nazi tuu , jaribu hiyo kwa wiki moja kisha niambie
nimetumia dada tena kwavmda mrefu lakin hakuna matumaini.yaan mm ikidhatoka tu inavimba kubwa.nimejarib dawa nyingi saana za hospital lakin wapi.ktk dawa tajwa sijaona pearsol forte, mm hii imenisaidia inapatikana pharmacy pakaa jioni unapokwenda kulala na pakaa kwenye chunusi tuu na usipakaa uso wote mm imesaidia kupunguza sana japo cyo kuisha kabisa coz mm sasa naonekana soft japo huwa inakuja mojamoja kwa mbali, try may be itakusaidia kama mm
dada asante sana saanaPole sana. Chukulia kuwa tatizo lako limekwisha.
Natamani wale waliotumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa ajili ya chunusi na mengineyo wangejitokeza humu na kutoa ushuhuda.
Tumia hii dawa yetu ya chunusi, watu wengi sana imewasaidia sana tena sana. ni 100% natural, haina madhara mwilini na wala haina allergy yoyote kwa yeyote. Utaifurahia sana.
Tena si kwa chunusi tu, hata mapele ya joto, muwasho mwilini, mapele ya kunyoa (kiwembe) vidonda visivyopona haraka, kuunguwa na moto, kuunguwa na madawa ya kubadilisha rangi ya ngozi (mkorogo) au urembo tu kufanya ngozi yako ing'ae na iwe mororo na yenye afya.
https://www.jamiiforums.com/jf-doct...na-zaidi-aunt-zainabs-natural-super-clay.html
Uko wapi? nikupe anuani sahihi ya kuipata hii dawa? au kama una swali lolote nipigie 0769302206 ukinikosa piga kwa hawa wafuatao:
Loya: 0713484578 / 0786976002 au Ray Mushi 0713422069 au Babu Abdul 0756803528
Nimeutumia huu udongo kweli ni mzuri, umenifanya nikasahau scrub kwa muda.Thanks Zainab