Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Kama upo dar nenda S.H AMON ni msaada tosha utakua soft ka mtoto mchanga......afu sio jukwaa lake apa peleka jf doctor
 
Suggestion yangu awe msafi tu, haya madawa mwisho wa siku yatamchanganyia mambo ataharibika uso bure...
Hizo solution wameandika hapo juu mimi nilizipitia zoote kasoro hiyo ya huyo anayesema kinyesi cha mbuzi sijui ka yuko serious..


Hadi leo hii kitu pekee ambacho kilinimalizia tatizo la chunusi kabisa ni kitu kinaitwa Laser treatment, wanatumia laser kuchoma ngozi baada ya siku ka saba ngozi ya juu inatoka yote inakuja ngozi mpya sema hii sasa bongo sijui kama ipo, jaribu S.H hawa wamejikita kwenye ngozi labda watakua wanafanya, kama sio hivo kuna chemical peeling hii bongo am sure wanfanya, ni process ileile kama laser sema intumia acid, hii ni vizuri kuelekezwa na doctor...
 
Mi zmenisaidia sana na still natumia product zao na stoacha

Mi nimesumbuliwa sana na vipele ya ndevu ndugu na nilienda kwa hao jamaa nikapewa madwa meng kama ya shiling elfu hamsini iv but sikuweza pona.....nilikuja pata sabuti kutoka humu humu kwa mwana jf mmoja iv anajiita mtafiti mwelewa anauza product Za BF SUMA ambayo ni kampuni ya kimarekani na zimenisaidia had leo not imepona kabisa
 
Dawa bingwa ni chukua limao na unga wa soda changanya kijiko kimoja cha unga wa soda kata limao na kamulia kwenye chombo ndipo uchanganye
 
Dawa bingwa ni chukua limao na unga wa soda changanya kijiko kimoja cha unga wa soda kata limao na kamulia kwenye chombo ndipo uchanganye na upakae usiku na asubuhi
 
Hey docta popote ulipo
ebu saidia jamani mana watu wanabadilisha vipodozi maduka kwa maduka mapharmacy kwa mapharmacy
sasa masumu hayo yanajenga machunusi sijui majipu uchungu...ivi hakuna natural way jamani?
dawa ni nini?kuna wengine walikja na slogan eti mbegu za kiume mtu apake usoni sitaki ushauri wa kijinga wa ivyo!
kama huna point unapita tu.nipo serious hapa!
 
mtafute Director Joan kule instagram naona anatibu hiyo
 
dawa ya chunusi ni kufahamu ngozi yako ni ya aina gani,dry au oily na kutumia mafuta appropriate,chakula bora pia hulainisha ngozi.yakizzidi nenda hosp uatapatiwa dawa ant-biotic
 
dawa ya chunusi ni kufahamu ngozi yako ni ya aina gani,dry au oily na kutumia mafuta appropriate,chakula bora pia hulainisha ngozi.yakizzidi nenda hosp uatapatiwa dawa ant-biotic

nimekuona yaani ninapopita na wewe upo toka kuleee kwetu safi sana.nimeipenda hiyo!
 
Labda utuambie ngozi yako ni kavu au yenye mafuta au mchanganyiko. Tuambie unakula vyakula gani kwa wingi. Maji unakunywa ya kutosha?
 
Hivi karibuni tumeona kuwa huu udongo unafaa hata kuondosha na kuzuwia vipele vya kiwembe kwa wale wenye kunyoa.

Unaweza kuupaka huu udongo ukawa ndio shaving cream yako, kwani unateleza kama sabuni. Na baada ya kunyoa unaupaka unauwacha kwa muda na kisha unausuuza.
 
Hivi karibuni tumeona kuwa huu udongo unafaa hata kuondosha na kuzuwia vipele vya kiwembe kwa wale wenye kunyoa.

Unaweza kuupaka huu udongo ukawa ndio shaving cream yako, kwani unateleza kama sabuni. Na baada ya kunyoa unaupaka unauwacha kwa muda na kisha unausuuza.

Da' Zai habari... Leo ndio jumatatu. Bado tunasubiri huku Mwanza...
 
Tunafuraha kuwajulisha kuwa, mmoja wa wateja wetu ana aleji ya ngozi ambapo hawezi kutumia sabuni za manukato na alikuwa na vipele vidogo dogo mwilini, tukamshauri ajaribu kidogo huu udongo mkononi aone kama utamfanyia aleji. Baada ya kuupaka kwa siku tano mfululizo kidogo mkononi haukumletea aleji na mapele ya pale alipopaka yamepungua sana. Jana ya tatu anaupaka mwilini na amefurahi sana na anasema mapele yanaondoka.

Aunt Zainab's Natural Super Clay si dawa ya aleji bali ni mbadala wa sabuni za manukato kwa wenye aleji na sabuni za manukato.

Tunashauri wenye aleji jaribuni, msijitie moja kwa moja kwanza jaribuni kwani kuna aleji aina nyingi na zinasababishwa na mambo mengi. Tunashauri wenye aleji kwanza wajaribu sehemu ndogo ya mkononi na udongo huu kidogo na wakiona hauna madhara waendelee kuutumia.

Udongo huu ni 100% Natural na haujaongezwa chochote.
 
Wenye chunusi usoni.

Pima kijiko kimoja cha chai cha Aunt Zainab's Super Clay, tia kwenye kibakuli au kikombe kisafi, tia maji kidogo koroga na changanya mpaka udongo na maji vichanganyike viwe kama (paste), paka usoni kote, wacha udongo ukaukie usoni halafu kosha kwa maji safi, wakati unaosha uso fanya kama una scrub kidogo kidogo.

Fanya hivyo kila siku mara moja, baada ya wiki moja tunaomba tuwekee majibu.

Nashauri wataokafanya hivyo wajipige picha kabla na kila siku, wajionee matokeo.
 
Back
Top Bottom