mr iko press
Member
- Jan 3, 2015
- 56
- 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama upo dar nenda S.H AMON ni msaada tosha utakua soft ka mtoto mchanga......afu sio jukwaa lake apa peleka jf doctor
Sio wakweli sana nao hao washanipa mi dawa ambazo hazikuweza nisaidia kwa lolote
Mi zmenisaidia sana na still natumia product zao na stoacha
dawa ya chunusi ni kufahamu ngozi yako ni ya aina gani,dry au oily na kutumia mafuta appropriate,chakula bora pia hulainisha ngozi.yakizzidi nenda hosp uatapatiwa dawa ant-biotic
Hivi karibuni tumeona kuwa huu udongo unafaa hata kuondosha na kuzuwia vipele vya kiwembe kwa wale wenye kunyoa.
Unaweza kuupaka huu udongo ukawa ndio shaving cream yako, kwani unateleza kama sabuni. Na baada ya kunyoa unaupaka unauwacha kwa muda na kisha unausuuza.
Da' Zai habari... Leo ndio jumatatu. Bado tunasubiri huku Mwanza...
Mwanza limetokea tatizo lililo nje ya uwezo wetu. Nitakujulisha zaidi kwenye pm.