Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Habari zenu wakuu.
Mwenzenu ninatatizo la chunusi toka kuvunja ungo mpaka sas nina miaka 29 sijawahi kuw na raha na uso wangu.msaada jaman anaejua dawa maana umri huu ngozi mbaya kama kenge.mbaya zaidi yanatoka makubwa kama majipu.msaada tafadhadi.

Jaribu kutumia hii product

6802204_600x600.jpg
 
Dawa ni kunywa maji tu, mi nilikuanazo ka fenisi na mengine ka majipu, baada ya miezi 3 ya kunywa maji, yote yalipotea.

Hizo dawa ni mbwembwe tu.
 
Nenda kwa dermatologist kuna dawa absorica hii ni kiboko ya acne sugu
 
Nilikuwa nazo b4 sijaoa,nikaoa kwenye harusi nilipata shida sana,but after wedding huwezi amini nikaagiziwa dawa after one week nikawa poa
 
Habari zenu wakuu.
Mwenzenu ninatatizo la chunusi toka kuvunja ungo mpaka sas nina miaka 29 sijawahi kuw na raha na uso wangu.msaada jaman anaejua dawa maana umri huu ngozi mbaya kama kenge.mbaya zaidi yanatoka makubwa kama majipu.msaada tafadhadi.

Tatizo la zaidi ya miaka 10 ukilielezea kwa sentensi tatu...hakuna daktari anayeweza kutatua. Umeshawahi kutumia dawa? Dawa gani? Kwa muda gani? Unatumia mafuta/lotion aina gani? Unaona yana trend Fulani..yaani kuna muda zinaongezeka na kuna muda zinapungua? Umeshawahi kufanya kipimo cha hormones?....maswali mengi yapo. Nakushauri nenda kwa Dermatologist akuone, akuulize maswali, afanye necessary test...kasha akushauri matibabu. Wengi tu washapona hilo tatizo. Naweza kukutumia namba ya Dermatologist kwa PM.
 
Tatizo la zaidi ya miaka 10 ukilielezea kwa sentensi tatu...hakuna daktari anayeweza kutatua. Umeshawahi qkutumia dawa? Dawa gani? Kwa muda gani? Unatumia mafuta/lotion aina gani? Unaona yana trend Fulani..yaani kuna muda zinaongezeka na kuna muda zinapungua? Umeshawahi kufanya kipimo cha hormones?....maswali mengi yapo. Nakushauri nenda kwa Dermatologist akuone, akuulize maswali, afanye necessary test...kasha akushauri matibabu. Wengi tu washapona hilo tatizo. Naweza kukutumia namba ya Dermatologist kwa PM.
Asante kaka ni dawa nyingi kwakwel na za asil zote nshaenda hospital had dk wa ngozi pale AICC Arusha badoo.labda nipate huyo dermatology
 
Nawia maji ya ndimu tupu ukiweza au paka ndimu kila asubuhi kaa SAA nzima nawa paka mafuta ya nazi tuu , jaribu hiyo kwa wiki moja kisha niambie
nilichogundua katika ngozi yangu bifhaa za ndimu au limau au cocoa navimba zaidi.nikila vitu vya sukal soda au maji ya kopo navimbaa zaidi yale machunusi hayana kitu ila linavimbaa na kuacha scars zisizoisha.
 
Nawia maji ya ndimu tupu ukiweza au paka ndimu kila asubuhi kaa SAA nzima nawa paka mafuta ya nazi tuu , jaribu hiyo kwa wiki moja kisha niambie
yaaap mafuta ya nazi ndo bidhaa yangu situii aina nyngne yeyote.natumia yaliyotrngenezwa kienyeji.
 
ktk dawa tajwa sijaona pearsol forte, mm hii imenisaidia inapatikana pharmacy pakaa jioni unapokwenda kulala na pakaa kwenye chunusi tuu na usipakaa uso wote mm imesaidia kupunguza sana japo cyo kuisha kabisa coz mm sasa naonekana soft japo huwa inakuja mojamoja kwa mbali, try may be itakusaidia kama mm
 
ktk dawa tajwa sijaona pearsol forte, mm hii imenisaidia inapatikana pharmacy pakaa jioni unapokwenda kulala na pakaa kwenye chunusi tuu na usipakaa uso wote mm imesaidia kupunguza sana japo cyo kuisha kabisa coz mm sasa naonekana soft japo huwa inakuja mojamoja kwa mbali, try may be itakusaidia kama mm
nimetumia dada tena kwavmda mrefu lakin hakuna matumaini.yaan mm ikidhatoka tu inavimba kubwa.nimejarib dawa nyingi saana za hospital lakin wapi.
 
Pole sana. Chukulia kuwa tatizo lako limekwisha.

Natamani wale waliotumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa ajili ya chunusi na mengineyo wangejitokeza humu na kutoa ushuhuda.

Tumia hii dawa yetu ya chunusi, watu wengi sana imewasaidia sana tena sana. ni 100% natural, haina madhara mwilini na wala haina allergy yoyote kwa yeyote. Utaifurahia sana.

Tena si kwa chunusi tu, hata mapele ya joto, muwasho mwilini, mapele ya kunyoa (kiwembe) vidonda visivyopona haraka, kuunguwa na moto, kuunguwa na madawa ya kubadilisha rangi ya ngozi (mkorogo) au urembo tu kufanya ngozi yako ing'ae na iwe mororo na yenye afya.

https://www.jamiiforums.com/jf-doct...na-zaidi-aunt-zainabs-natural-super-clay.html

Uko wapi? nikupe anuani sahihi ya kuipata hii dawa? au kama una swali lolote nipigie 0769302206 ukinikosa piga kwa hawa wafuatao:

Loya: 0713484578 / 0786976002 au Ray Mushi 0713422069 au Babu Abdul 0756803528
dada asante sana saana
 
Pole sista, iko dawa, inaitwa Aunt zeinab's natural super clay, ni natural kabisa na haina chemicals. udongo huo una sifa nyingi sana za kutibu na kurembesha ngozi. Hebu angalia mwenyewe kwenye mtandao bentonite clay usome kwa makini. Kwa ufupi naweza kukwambia inatibu maradhi yote ya ngozi, hata kama anti-biotics zimeshindwa kazi, inaweza kutumiwa kutibu kuungua na moto, pimples, eczema, psoriasis.
Udongo ni pekee wenye kuwa na negative electric charge inayokuwa active ukichanganya na maji. Sumu nyingi mwilini (toxins) ziko na positive charge, na ukipaka mwilini hua unafyoonza sumu kupitia njia za jasho na kuondoa sumu na kuwacha ngozi ikiwa kama ulivyozaliwa. Ile negative charge kwenye udongo inavuta positive charge ya sumu, na kuweza kusafisha damu na kuwacha ngozi irudie hali yake ya mwanzo.
Mimi niko nauuza kikopo cha udongo huo kwa sh 7000 kwa kikopo cha ujazowa gramu 100. Utaona tofouti ya ngozi kuwa vizuri baada ya siku 2-3. Kumbuka haina chemical, na inasaidia pia kuondoa michubuko ya mikorogo.
Namba yangu ni 0655798139. Asante.
 
Kwa muwasho mwilini, kwa fungus za miguuni na sehemu za siri, kwa wale wenye miguu iliyokatika katika (sugu) za miguuni. Sasa mmepata utatuzi wa hayo matatizo.

Tunafuraha kuwajulisha kuwa Aunt Zainab's Natural Super Clay inasaidia sana hayo matizo yote, na walioitumia wamehakikisha hilo.
 
Nimeutumia huu udongo kweli ni mzuri, umenifanya nikasahau scrub kwa muda.Thanks Zainab

Unaweza pia kuutumia kwa scrubbing.

Na sasa kwa mara ya kwanza Tanzania unaweza ku "afford" luxury ya "mud bath" nyumbani kwako.

Mud Bath ni njia moja ya kutoa sumu za mwilini na kuufanya mwili uwe morororo na kujisikia mchangamfu sana kila unapoifanya. Tatizo kubwaa lilikwa ni gharama zake. Wenezetu nje hutumia mpaka dollar 200 kwa kufanya mud bath kwenye maspaa.

Tanzania tumejaaliwa neema ya kuweza ku afford bath kama bure. Jaribu.

Unachukuwa pakti moja ya udongo wetu, siku moja kwa wiki, ambayo unataka ku relax, unatia kwenye maji bakuli moja (kama nusu kita maji), unauacha kwa muda wa saa moja ujichanganye wenyewe kisha unautazama uzito wake, (uwe kama kwenye picha), unajisiriba mwili mima (kama kwenye picha, usiache sehemu, uso na kila mahala.

Matokeo yake ni ya ajabu, uchovu wote huondoka mwilini, unajisikia fresh sana na ngozi inakuwa nyororo na vipele vipele vyote vinaondoka.

Jisomee:

Introduction of Mud Baths

Mud bath is a detox therapy, which has become extremely popular around the globe. Until rather recently, many European practitioners promoted mud baths as a treatment for arthritis. This back to the basics, relatively simplest of alternative therapies, tends to help relax muscles, soothe aches, improve blood circulation and smoothen the skin. With today's emerging trends mud baths are often recommended to help reduce stress and leave us feel rejuvenated at the end of the session.

[TABLE="width: 255"]
[TR]
[TD="width: 100%, align: left"]
bodywrapnew.gif
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Skin and Detoxification

Conscious detoxing is a great way to achieve optimum health. The best ways to detox is through the skin. Detoxification is one of the most effective methods to eliminate toxic substances that build up throughout our system. The toxins present in the environment constantly attack the body. These toxins get accumulated in the body's fat layers. Accumulation of toxins in the body cause harm to the biological processes. Hence, it becomes essential to remove the toxins regularly from the body otherwise; a high toxin load may cause skin problem, frequent or recurring colds, chronic pains, low energy levels, allergies and other illness.

The skin is the largest breathing human organ. Keeping the skin healthy promotes general health and well being. Taking a hot bath or sauna promotes sweating that flushes the toxins away from the body. Mud baths draw out the toxins and impurities from the body, exfoliating and nourishing the skin.

Read more: Mud Baths Mud Baths
 
Back
Top Bottom