Kama umejaribu kila kitu, labda dawa yake usipake kitu!
Kama umejaribu kila kitu, labda dawa yake usipake kitu!
Mm nilikuwa na tatizo hilo miaka mingi sio biashara ila sabuni na lotion ya zoa zoa zimenisaidia saaaana nilizitumia kwa muda wa miezi kama 4 mfululizo bila kitu kingine.