Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Sijawahi paka cream.ni madoa yaliyobaki baada ya kutumbua chunusi..na uso wangu unamafuta kwa hiyo napata chunusi za mara kwa mara..wewe baba wewe mbona umejaa stress tupu kuwa na positive mind basii..kama mkeo anajichubua sio wote wanafanya hivyo hebu shika adabu yako kama huna msaada unakaa kimya.mxiuuuuu hovyo
hapa kila mtu atakuja na madawa yake madoa huwa yanaitaji muda sana kutoka hakuna kitu kitakutoa madoa mara moja so bora uendelee na unachotumia ukipe muda sana
 
Usipake mavitu vitu ngozi inaharibika, chukua asali na mdalasini changanya jipake usiku, asubuhi utaona ngozi inavokua...
 
Nimekuwa na sumbuliwa na vipele sehemu ya mgongoni na kifuani kidogo. Tatizo hili limenianza tangu mwaka 2006 mpaka sasa, nimetumia dawa mbali mbali za kujipaka lakini hali imekuwa haibadiliki.

Chanzo cha tatizo ni kwamba kuna nguo jirani yangu aliniletea toka dar alipokuja kusalimia kijijini.

Tangu nivae ile nguo, ndio mwanzo wa kuota vipele. Nimezunguka kwenye mahosipitali ila wamekuwa wananipa dawa za kawaida tuu na hakuna nafuu yeyote.

Hata miezi michache iliyopita nilitoka hospitali wakaniambia nikanunue benzoyl peroxide gel,2.5

Naombeni msaada wadau
 
Umejaribu kutumia sabuni ya TETMOSOL.?
Kama bado nakushauri ufanye ivo kwa sababu Tetmosol ni sabuni ya magonjwa yote ya ngozi
Natumai itakusaidia
Pole sana
 
Umejaribu kutumia sabuni ya TETMOSOL.?
Kama bado nakushauri ufanye ivo kwa sababu Tetmosol ni sabuni ya magonjwa yote ya ngozi
Natumai itakusaidia
Pole sana

Asant sana pharry.nitaitafuta
 
Usipake mavitu vitu ngozi inaharibika, chukua asali na mdalasini changanya jipake usiku, asubuhi utaona ngozi inavokua...

Nimetumia acness..chunusi zikaisha..naweza kupaka hii asali na mdalasini kuwa soft zaidi?napaka kila siku usiku?asubuhi nanawa na maji ya moto au ya baridi?kuna mtu alinishauri nipake liwa nayo ni nzuri?
 
Liwa sijawahi kutumia, Ila hiyo asali na mdalasini nzuri, unanawa tu na maji yoyote
 
Naomba msaada kama mtu anajua dawa ya kuondoa vidoa doa vyeusi vilivyoachwa baada ya kutumbua chunusi anisaidie nakosaa amani na uso wangu.
Ikiwa bado hujapata dawa. Tumia even out day and night cream hii ni asilia na huondoa madoa yote usoni.

Wasiana nami kupata bidhaa hizo kwa 0717 343635.
 
Back
Top Bottom