Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Jack daniel,
Mm nlikua na ilo tatizo long time.nlienda mpaka hospital lkn still zitatoka baadae zinarud ten.
Kiufupi subir nkwambie njia nliotumia mm mpk sasa i have toned clear face.
Usipendelee kuosha uso kwa sabun mara kwa mara,coz inatoa mafuta ya asili usoni.iwe usiku tu ndio unaosha uso wako kwa sabun,na brush maalum la kuoshea uso,baada ya kuosha uwe na ile toner ,toner zipo kila aina unasafishia uso ile ili kutoa taka zingine kama zimebak usoni,baada ya hapo paka mafuta ya sheer butter ni mazuri mno,yanakufanya uwe uso wa soft na kung'ara.asbuh ukiamka uoshe uso wako lkn sio na sabun then paka toner yako na ur favoirate cream.na kila baada ya wiki mbili uwe na systen ya kufanya facial ya asili nyumbn kwako sio lazma uende salun.kuanzia scrubing mpk masking your face ukifanya ivo mabadiliko utayaona coz unatoa dead cells zilizopo ktk uso.
 
Jack daniel,
Mm nlikua na ilo tatizo long time.nlienda mpaka hospital lkn still zitatoka baadae zinarud ten.
Kiufupi subir nkwambie njia nliotumia mm mpk sasa i have toned clear face.
Usipendelee kuosha uso kwa sabun mara kwa mara,coz inatoa mafuta ya asili usoni.iwe usiku tu ndio unaosha uso wako kwa sabun,na brush maalum la kuoshea uso,baada ya kuosha uwe na ile toner ,toner zipo kila aina unasafishia uso ile ili kutoa taka zingine kama zimebak usoni,baada ya hapo paka mafuta ya sheer butter ni mazuri mno,yanakufanya uwe uso wa soft na kung'ara.asbuh ukiamka uoshe uso wako lkn sio na sabun then paka toner yako na ur favoirate cream.na kila baada ya wiki mbili uwe na systen ya kufanya facial ya asili nyumbn kwako sio lazma uende salun.kuanzia scrubing mpk masking your face ukifanya ivo mabadiliko utayaona coz unatoa dead cells zilizopo ktk uso,umeelewa?
 
Siwezi sahau tatizo la chunusi kene maisha yangu,maana zilinilia pesa nyingi kupita maelezo.nilikwenda Hosp.tofaut tofaut kwa gharama kubwa sana lakin zilikwisha ila baada ya muda zilirudi tena upyaaa yaani cwez simulia ni pesa ngapi nilipoteza kwa hili balaa,ila nashukuru mungu saivi zimekwisha kabisa tena zenyewe
 
Adapalene Gel nilipewa Regency. siku 3 tu huna hataupele
 
Hello dear kama bado tatizo linakusumbua nicheck kwa simu namba 0672416294 kuna bidhaa za kampuni ya Oriflame zimetengenezwa kwa kutumia malighafi asilia.. Ni nzuri kwa ncozi na hazichubui.. Karibu
 
Pole asana kwa tatizo hilo, ukiona bado linakusumbua wasiliana nami kwa simu namba 0672416294. Kuna bidhaa kutoka kwenye kampuni ya Oriflame zitakusaidia sana
 
Nasumbuliwa na tatizo la chunusi usoni,tangu mwaka 2008.nimejaribu dawa mbalimbali lakini imeshindikana,mwenye kujua Tiba ya tatizo langu anisaidie.Mimi ni mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…