Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa gani alimpatia ?Kuna jamaa kamsaidia dada mmoja dawa,alikuwa na chunusi zisizoisha lakini sasa yamebaki madoa tu ndani ya wiki moja.
vizuri.. naomba utafute tonner ya oriflame inaitwa black head remover! kama sijakosea kuandika mie nnayo sema ipo nyumbani ningekutumia picha. itakusaidia kuondoa hayo mabaka.nimemaliza hatua ya kwnza zimeisha
yamebaki makovu
Pole mumie me nauza bidhaa za Oriflame ni nzuri sana na zitakupa matokeo mazuri. Ukihitaji tuwasiliane 0672416294Habarin wadau mm ni bint ninasumbuliwa na tatizo la chunusi kwa mda mrefu,yaani zinaota usoni,kifuani na mgongoni na kuacha makovu hili tatizo linanikosesha raha,plz kwa mtu mwenye ufumbuzi naomba msaada plz
Duh si mchezo acha kabisa kutumia mikorogo ndio inayofanya hivyo. Na pia huleta saratini ya ngozi. Pole sana osha uso mara mbili kwa siku na clean and clear tube face scrub.Habari wadau.
Mwenzenu nasumbuliwa na chunus sn, nshatumia vitu kbao ht idadi ckimbuki, kila nnachoambiwa natumia ila znaisha na kurud tena vle vle, yaan naweza kutumia kitu kipya nakua soft ndan ya mwenz mmoja baada ya hapo hali ya mwanzo inarud tena vle vle.
Yaan mpk inafka stage najichukia, ht kukaa mbele za watu naona aibu
Ahsante mkuuDuh si mchezo acha kabisa kutumia mikorogo ndio inayofanya hivyo. Na pia huleta saratini ya ngozi. Pole sana osha uso mara mbili kwa siku na clean and clear tube face scrub.
Nna watoto watatu mkuu, hyo balehe ya wap tena?Barehe ikiishakomaa zitaondoka. Ndio dalili ya kuvunja ungo usihofu.
Apunguze/aache kula vitu vya mafuta mfano: karanga,korosho,vitumbua,sambusa na vinginevyopole mkuu!...acha kupaka kitu chochote kwa muda wa mwez mzima ama miwili, hakikisha unaosha uso kila siku asubuh na jion kwa maji vuguvugu yenye maji ya limao fresh.
kisha baada ya miez miwil angalia mabadiliko ya ngozi yako. Hakikisha hupaki chochote kwa muda huo, ikiisha miezi miwili tafuta lotion isiyo na cream tumia, ifikapo usiku osha uso usilale na lotion!
Ok. sorry mkuu, nilifikiri ni binti mdogoNna watoto watatu mkuu, hyo balehe ya wap tena?