Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Kuna jamaa kamsaidia dada mmoja dawa,alikuwa na chunusi zisizoisha lakini sasa yamebaki madoa tu ndani ya wiki moja.
 
Kuna vitu huwa anachanganya ndo inakuwa dawa bt sivielewi
 
Habarin wadau mm ni bint ninasumbuliwa na tatizo la chunusi kwa mda mrefu,yaani zinaota usoni,kifuani na mgongoni na kuacha makovu hili tatizo linanikosesha raha,plz kwa mtu mwenye ufumbuzi naomba msaada plz
Pole mumie me nauza bidhaa za Oriflame ni nzuri sana na zitakupa matokeo mazuri. Ukihitaji tuwasiliane 0672416294
 
Kama Ngoz Ya Mafuta Tumia Asali Kupaka Usoni, Hasa Ya Nyuki Wadodo, Kwa Maelezo Zaid Pm
 
upload_2017-4-28_9-26-0.png
 
Habari wadau.
Mwenzenu nasumbuliwa na chunus sn, nshatumia vitu kbao ht idadi ckimbuki, kila nnachoambiwa natumia ila znaisha na kurud tena vle vle, yaan naweza kutumia kitu kipya nakua soft ndan ya mwenz mmoja baada ya hapo hali ya mwanzo inarud tena vle vle.
Yaan mpk inafka stage najichukia, ht kukaa mbele za watu naona aibu
 
Attachments

  • _20170517_202018.JPG
    _20170517_202018.JPG
    57.4 KB · Views: 155
Habari wadau.
Mwenzenu nasumbuliwa na chunus sn, nshatumia vitu kbao ht idadi ckimbuki, kila nnachoambiwa natumia ila znaisha na kurud tena vle vle, yaan naweza kutumia kitu kipya nakua soft ndan ya mwenz mmoja baada ya hapo hali ya mwanzo inarud tena vle vle.
Yaan mpk inafka stage najichukia, ht kukaa mbele za watu naona aibu
Duh si mchezo acha kabisa kutumia mikorogo ndio inayofanya hivyo. Na pia huleta saratini ya ngozi. Pole sana osha uso mara mbili kwa siku na clean and clear tube face scrub.
 
Simu yako ina pilikapilika nyingi,tweeter,fb,bado inadownload kitu hapo,video daah

Kuna mtu aliniambia dawa nzuri ya chunis ni mkojo wa mhusika,kupaka eneo lililoharibika
 
Duh si mchezo acha kabisa kutumia mikorogo ndio inayofanya hivyo. Na pia huleta saratini ya ngozi. Pole sana osha uso mara mbili kwa siku na clean and clear tube face scrub.
Ahsante mkuu
 
pole mkuu!...acha kupaka kitu chochote kwa muda wa mwez mzima ama miwili, hakikisha unaosha uso kila siku asubuh na jion kwa maji vuguvugu yenye maji ya limao fresh.

kisha baada ya miez miwil angalia mabadiliko ya ngozi yako. Hakikisha hupaki chochote kwa muda huo, ikiisha miezi miwili tafuta lotion isiyo na cream tumia, ifikapo usiku osha uso usilale na lotion!
 
Apunguze/aache kula vitu vya mafuta mfano: karanga,korosho,vitumbua,sambusa na vinginevyo
 
Tafuta sabuni moja inaitwa Robert ilinisaidia mimi nlikuwa nayo hadi yanajitumbua yenyewe usoni
 
Back
Top Bottom