Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Matibabu ya chunusi ni mapana sana Mkuu sio rahisi kama unavyodhani, ni vyema ungeenda hospital watafute chanzo kwanza ndipo matibabu yaendelee.

Bagwell
Asante kwa ushauli mkuu
 
Kama sabuni za aina gani mkuu?
 
RTI, Ndio ukitumia sabuni kali kama carambola au face wash nyingi zina alcohol zinakausha mafuta ya asili ya ngozi( sebum) achana nazo tumia mild soaps. Tumia na mafuta ya nazi usiku kabla ya kulala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mafuta ya nazi wanadai yanaziba vitundu vya ngozi hivyo kuzidisha chunusi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…