RTI
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 2,423
- 7,155
Wa kiumewewe ni mke au mume?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa kiumewewe ni mke au mume?
Asante kwa ushauli mkuuMatibabu ya chunusi ni mapana sana Mkuu sio rahisi kama unavyodhani, ni vyema ungeenda hospital watafute chanzo kwanza ndipo matibabu yaendelee.
Bagwell
Hapana mm bado mdogo sana kiumri mkuu
Mkuu tafuta hela, achana na mambo ya kujipodoa podoa
Wewe ni mke wake?Ficha ujinga wako bhnaa.. wewe umejuaje kama hana pesa...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Asante kwa ushauri kwa hiyo hata hizi sabuni niache kuzitumia?Usisumbuke sana ni kipindi cha mpito hicho ngozi itakaa sawa na chunusi zitakua historia vuta muda kwanza
Mkuu siku hizi jf imevamiwa na watu wa hovyo kabisa.Ficha ujinga wako bhnaa.. wewe umejuaje kama hana pesa...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Asante kwa ushauri kwa hiyo hata hizi sabuni niache kuzitumia?
Kama sabuni za aina gani mkuu?Chunusi husababishwa na mafuta yaliyo kwenye ngozi, kikubwa cha kufanya usiangaike na dawa za kuondoa chunusi za aina yoyote ile make unaweza jikuta unaongeza tatizo zaidi. Solution ni kwamba unapoenda kuoga paka sabuni usoni ambayo sio medicated kisha subiri mpaka ikauke baada ya hapo osha kwa maji safi kisha usipake mafuta aina yoyote ile baada ya wiki moja utaanza kuona matokeo mazuri.
Asante.Tumia ila sio matumizi ya muda mrefu
Naomba msaada kama mtu anajua dawa ya kuondoa vidoa doa vyeusi vilivyoachwa baada ya kutumbua chunusi anisaidie nakosaa amani na uso wangu.
Wewe ni mke wake?
Mild soap ndio kama zipi kwa mfano?Ndio ukitumia sabuni kali kama carambola au face wash nyingi zina alcohol zinakausha mafuta ya asili ya ngozi( sebum) achana nazo tumia mild soaps. Tumia na mafuta ya nazi usiku kabla ya kulala
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mafuta ya nazi wanadai yanaziba vitundu vya ngozi hivyo kuzidisha chunusi?RTI, Ndio ukitumia sabuni kali kama carambola au face wash nyingi zina alcohol zinakausha mafuta ya asili ya ngozi( sebum) achana nazo tumia mild soaps. Tumia na mafuta ya nazi usiku kabla ya kulala
Sent using Jamii Forums mobile app