Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

DX chronic chunusi
maoni ya tiba
  1. nawa uso mara kwa mara na sabuni yenye sulphur mara 3 au 4
  2. Clindamycin solution 1%, topical paka mara mbili kwa siku au Benzoyl peroxide 5% gel mara mbili kwa siku
  3. pata mwanga wa jua wa asubuhi
  4. Doxycycline (O) 100 mg mara mbili meza asubuhi saa 12 na jioni saa 12
  5. ikishindikana tafuta specialist wa ngozi utumie : Tretinoin acid ( ya kupaka) mara moja wakati wa usiku hiyo dawa ni kiboko kwa chunusi
 
Asante mkuu.
 
tafuta tetmosal soap uwe unanawia kisha upakae persol forte cream hakika utafurahia matokeo
 
Tafuta loshen yakganda inaitwa zekuzoka ninzur sn yaasil kikopo kdogo elfu6 me nlihangaika sn bt sahii nko soft mby niuhakika znaisha itafute
 
Asante sana mkuu Dr Preta. Je unaweza kunitajia sehemu yakuipata kwa Dar na Gharama zake. Ili iwe rahis kwangu kuitafuta

nenda tu pharmacy kubwa zipo....kwenye bei ni kama Tsh 10000 au zaidi.....not sure.......
 
Ni wakati wa kulalala tu na siyo upake nyingi unapaka kidogo dogo na pamba utaniyambia ishaallah utapona
 
Mi nakushauri nenda hospitali, ukamuone daktari, yeye ata examine ngozi yako

Dawa iliyonisaidia mimi sio lazma ikusaidie wewe

Una umri gani??
 
Tafuta loshen yakganda inaitwa zekuzoka ninzur sn yaasil kikopo kdogo elfu6 me nlihangaika sn bt sahii nko soft mby niuhakika znaisha itafute
inapatikana wapi hii. nipo dar.
 
Mi nakushauri nenda hospitali, ukamuone daktari, yeye ata examine ngozi yako

Dawa iliyonisaidia mimi sio lazma ikusaidie wewe

Una umri gani??

hospital nilienda mwaka jana mkuu. Wakanipa vidonge flan hivi vya rangi ya pink. Halafu wakanianzishia dozi ya sindano 4 ndani ya wiki 4.

Yaani kila wiki sindano moja.

Sikumbuki jina ila ilikua ni unga mweupe unachanganywa na kichupa cha maji na kupata huo mchanganyiko mweupe ambao nadungwa kila wiki. Daktari alifikiri ni magonjwa ya kuambukiza. Sababu wakati huo zilikua zinawasha sana.!

Umri wangu 23Yrs.
 
Nashukuru sana kwa ushauri wenu. Ila sasa changamoto ninayoipata ni dawa ipi nianze nayo? Labda tu niseme ngozi yangu ilivyo huenda kuna uwezekano mkanichagulia dawa nitakayoendana nayo.

* Ngozi yangu ya uso ina mafuta sana mpaka nimeacha kupaka mafuta usoni.
* Kuna wakati hizihizi chunusi hujitokeza kifuani kidogo na kwenye mabega.
* Zinauma sana ninapozigusa mara kwa mara na kuchanganyika na muwasho mkali.
 
tafuta kitu kinaitwa........adapalene gel.0.1%.......baada ya wiki uje uniambie........

Dr Preta........

Aseee preta umemsaidia sana hii dawa ilinitibu mim nilikua natisha.af sas ukitumia zikiisha ndo kwa heri hazirud tenaaa...ila mim nilimeza na vidonge nilivyopewa aghakan nimevisahau..yani niliteseka toka la saba hadi form six ikanilazimu kwenda aghakan kuonana na mtaalam wa ngoz kwa kweli saiv namshukuru mungu..ni historia
 
BEI GAN HYO DAWA hebu nisaidie manake mi ukiniona natisha sana pia nindkie jna lake vizuri
 
kwenye swala la chunus kila m2 anatiba yake unaweza kutumia njia alizotumia mwenzio akapona we usipone....ni kuikubal hal uliyonayo itafika kipind ztaisha zenyewe..je ulishawah kuona watu wa umri wa miaka 28 na kuendelea wanazo hata kama wapo nwachache sana....ucjal na wala usiangaike saana ztaisha tu
 
Pole sana......!
Penda kuosha uso kwa maji safi na salama....nakuukausha na taulo safi na kavu!!
Neo mendrol......ni dawa nzur itakusaidia sana.
 
Back
Top Bottom