Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

habari JF Doctor, nimesumbuliwa na chunusi usoni kwa muda mrefu, nimetumia vipodozi mbalimbali lakini sijapata matokeo mazuri, sababu zinapungua kwa muda na huwa zinarudi tena, cjui cha kufanya kwa sasa. tafadhali naomba msaada wako.
Bibie sisala Pole sana na hizo chunusi zako fanya hivi kisha uje unipe Feedback.

Dawa ya Chunusi:

Chukua kitunguu maji kisha ukisage, halafu ukikande katika unga wa ngano nzima, changanya na yai pamoja na mafuta ya ufuta,

na upake usoni asubuhi na jioni pamoja na kula kitunguu kwa sana.

 
MziziMkavu,

nashukuru ndugu yangu kwa ushauri wako, kwenye unga wa ngano nzima hapo cjakuelewa vizuri, tafadhali naomba maelezo zaidi rafiki
 
wadau huwa nasumbuliwa na chunusi kwa kipindi kirefu naomba mnitajie dawa hiyo na matumizi yake
 
jinsia?umri?
muda gani toka zimeanza?bkwa kipindi cha karibuni umetumia dawa zipi? nijibu haya then tuendelee..
 
jinsia?umri?
muda gani toka zimeanza?bkwa kipindi cha karibuni umetumia dawa zipi? nijibu haya then tuendelee..

jinsia-mwanamme,umri-21,zilianza tangu nilipoanza kubalehe na huwa natumia sabuni mbalimbali pamoja dawa fulani inaitwa WHITEFIELD
 
jinsia-mwanamme,umri-21,zilianza tangu nilipoanza kubalehe na huwa natumia sabuni mbalimbali pamoja dawa fulani inaitwa WHITEFIELD

Hapo kwenye BOld, umesema unatatizo la fangasi au chunusi? Maana whitefield waliosoma PUGU na jirani zao wa MINAKI ni maarufu sana hiyo kitu kwenye ubongo wao.
 
Kunywa maji mengi,fanya mazoezi ni wazi kwamba mwili wako ngozi yako Ina mafuta mengi,Mafuta yatasaidia kuunguza mafuta haya,kula vyenye Kiwango kikubwa cha fibre,hiki ni kinyume na vyakula vilivyokobolewa,kula sana bonga za majani,depression pia hutajwa Kama chanzo cha chunusi,waone pia wataalamu wa ngozi
 
jinsia?umri?
muda gani toka zimeanza?bkwa kipindi cha karibuni umetumia dawa zipi? nijibu haya then tuendelee..

Ok tumia sabuni ya Asantee tamarind and goat milk soap au likas papaya soap.

Ukishaosha uso kwa kutumia exfoliating gloves au any face towel acha uso ukauke kwa dakika 30.

Kama ni usiku paka RETIN A 0.05% (hii inauzwa pharmacy). Minya itoke kidogo tu kama punje ya njegere inatosha uso wote. Hii inatumika usiku tu. Usipake asubuhi au mchana.

Ukishapaka hiyo kaa dakika tano kisha paka BETADERM NM cream nayo unanunua duka la dawa. Be careful zipo za aina mbili so waambie betaderm nm cream (hii ina miconazole.neomycin and betamethasone).

Asubuhi pia osha uso kwa kitambaa na sabuni then after 30 mins paka betaderm cream.

Note:
Kunywa maji mengi sio chini ya lita mbili kwa siku.

Do body detox angalau two days kwa kutumia lemon

Be consistency as u cant get rid of them overnight..

All the best my dear.
 
jinsia-mwanamme,umri-21,zilianza tangu nilipoanza kubalehe na huwa natumia sabuni mbalimbali pamoja dawa fulani inaitwa WHITEFIELD

ok tumia sabuni ya Asantee
tamarind and goat milk soap au
likas papaya soap.

Ukishaosha uso kwa kutumia
exfoliating gloves au any face
towel acha uso ukauke kwa
dakika 30.

Kama ni usiku paka RETIN A
0.05% (hii inauzwa pharmacy).
Minya itoke kidogo tu kama
punje ya njegere inatosha uso
wote. Hii inatumika usiku tu.
Usipake asubuhi au mchana.

Ukishapaka hiyo kaa dakika tano
kisha paka BETADERM NM
cream nayo unanunua duka la
dawa. Be careful zipo za aina
mbili so waambie betaderm nm
cream (hii ina miconazole.neomycin and betamethasone).

Asubuhi pia osha uso kwa
kitambaa na sabuni then after
30 mins paka betaderm cream.

Note:
Kunywa maji mengi sio chini ya
lita mbili kwa siku.

Do body detox angalau two days
kwa kutumia lemon

Be consistency as u cant get rid
of them overnight..

All the best my dear.
 
Bengazuu pole kwa hilo tatizo lililokutokea. Huwa siyo wewe tu bali wapo wengi ambao huwa wanatokewa na matatizo ya chunusi na mabakamabaka katika ngozi. Unaweza kutumia lishe iliyoandaliwa kiasilia na isiyo na madhara yoyote kiafya na iliyokwishathibitishwa na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania na pia inatumika duniani kote kwa lengo hilo hilo. Fuatilia maelezo ya lishe husika hapo chini na kwa msaada zaidi waweza kufanya mawasiliano kupitia namba yangu iliyo mwishoni au kwa kuniandikia email.

MAGILIM

Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;

  • Seamen cassie
  • Cassia bark
  • Mullberry leaver
  • Fago fyrum tataricum
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;

  • Maji ya nyongo
  • Nguvu ya mwili(glucose)
  • Uric acid
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ------ na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.

  1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.

KAZI YA MAGILIM

  • Kupunguza uzito na unene
  • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
  • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
  • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
  • Kutoa sumu mwilini
  • Kutoa chunusi mwilini
  • Kutibu matatizo ya tumbo

CORDY ROYAL JELLY

Bidhaa hii imetokana na mmea wa cordy ceps sinensis na Royal jelly.
Royal jelly – Inatokana na chakula maalum cha malkia wa nyuki.

FAIDA ZA CORDY ROYAL JELLY

  • Ina vitamin A,B,C,D,E na K ni chakula kilichokamilika.
  • Inaondoa cholesterol
  • Inaimarisha mfumo wa damu mwilini.
  • Ina faty Acid
  • Inaongeza nguvu na kutoa uchovu na kutoa sumu mwilini
  • Inakufanya usizeeke haraka(anti aging)
  • Kulainisha ngozi na kufanya ngozi kuwa nzuri
  • Inafanya damu kuwa nyepesi
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Kuweka kiwango cha mafuta na cholesterol sawa.
  • Mafuta yaliyoganda kuzunguka moyo na kwenye mishipa ya damu huyeyusha na kulainisha mishipa ya damu.

REISHI


Bidhaa hii inatokana na uyoga mwekundu unaotoka Asia ya mashariki, China, Japan. Uyoga(Ganoderma licidum) unaaminika sana Asia ya mashariki kuwa ni mmea ambao unawapa urefu wa maisha.

FAIDA YA REISHI

  • Kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Inapunguza kasi ya kuzeeka
  • Inaimarisha utendaji kazi wa moyo
  • Inaondoa uchovu mwilini
  • Inaimarisha ubongo,kumbukumbu na usikivu
  • Inatibu presha ya kushuka
  • Inatibu vidonda vya tumbo
  • Inatibu pumu, allegy
  • Inasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kukupa usingizi mzuri
  • Inapambana na maambukizi ya bacteria na fungus
  • Inasaidia mwili kujikinga na kansa
  • Inatibu matatizo ya candida

Kwa swali lolote au ushauri waweza kuuliza kwa kunipigia 0776491294/0713889162 au kuniandikia kupitia email ishealthy@hotmail.com

MAGILIM ni 62500/-, CORDY ROYAL JELLY ni 68000/- na REISHI ni 85000/-
 
ok tumia sabuni ya Asantee
tamarind and goat milk soap au
likas papaya soap.

Ukishaosha uso kwa kutumia
exfoliating gloves au any face
towel acha uso ukauke kwa
dakika 30.

Kama ni usiku paka RETIN A
0.05% (hii inauzwa pharmacy).
Minya itoke kidogo tu kama
punje ya njegere inatosha uso
wote. Hii inatumika usiku tu.
Usipake asubuhi au mchana.

Ukishapaka hiyo kaa dakika tano
kisha paka BETADERM NM
cream nayo unanunua duka la
dawa. Be careful zipo za aina
mbili so waambie betaderm nm
cream (hii ina miconazole.neomycin and betamethasone).

Asubuhi pia osha uso kwa
kitambaa na sabuni then after
30 mins paka betaderm cream.

Note:
Kunywa maji mengi sio chini ya
lita mbili kwa siku.

Do body detox angalau two days
kwa kutumia lemon

Be consistency as u cant get rid
of them overnight..

All the best my dear.

mkuu wangu sasa hizo cream za betaderm hazitamfanya kuwa cheupe kweli?
 
Back
Top Bottom