Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi jamani kupaka hayo makitu usoni..!
Asee hapana.
lotion zingepungua beiNimesikia tetesi kuwa baada ya tendo mwanamke akimwagiwa na mwanaume Mbegu usoni ikiwa ana chunusi eti inamsaidia kuondoa chunusi hizo.!?WAKUUkwa anayefahamu je, Kuna ukweli wowote juu ya hili?
king kong 111 naona umeniita......nimeitika wasemaje?
king kong 111 naona umeniita......nimeitika wasemaje?
Uje kutoa darasa binti murembo weye...njoo share idea za urembo hapa jamvini