DX chronic chunusi
maoni ya tiba
- nawa uso mara kwa mara na sabuni yenye sulphur mara 3 au 4
- Clindamycin solution 1%, topical paka mara mbili kwa siku au Benzoyl peroxide 5% gel mara mbili kwa siku
- pata mwanga wa jua wa asubuhi
- Doxycycline (O) 100 mg mara mbili meza asubuhi saa 12 na jioni saa 12
- ikishindikana tafuta specialist wa ngozi utumie : Tretinoin acid ( ya kupaka) mara moja wakati wa usiku hiyo dawa ni kiboko kwa chunusi
inapatikana wapi hii. nipo dar.Tafuta loshen yakganda inaitwa zekuzoka ninzur sn yaasil kikopo kdogo elfu6 me nlihangaika sn bt sahii nko soft mby niuhakika znaisha itafute
Mi nakushauri nenda hospitali, ukamuone daktari, yeye ata examine ngozi yako
Dawa iliyonisaidia mimi sio lazma ikusaidie wewe
Una umri gani??
nenda tu pharmacy kubwa zipo....kwenye bei ni kama Tsh 10000 au zaidi.....not sure.......
Dah pole sana inaonyesha umehangaika sana na tatizo hili. Mungu akuponye.
Hata nkojo wa punda ni dawa
Mi nakushauri nenda hospitali, ukamuone daktari, yeye ata examine ngozi yako
Dawa iliyonisaidia mimi sio lazma ikusaidie wewe
Una umri gani??
tafuta kitu kinaitwa........adapalene gel.0.1%.......baada ya wiki uje uniambie........
Dr Preta........
Aseee preta umemsaidia sana hii dawa ilinitibu mim nilikua natisha.af sas ukitumia zikiisha ndo kwa heri hazirud tenaaa...ila mim nilimeza na vidonge nilivyopewa aghakan nimevisahau..yani niliteseka toka la saba hadi form six ikanilazimu kwenda aghakan kuonana na mtaalam wa ngoz kwa kweli saiv namshukuru mungu..ni historia