Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Uwe unaosha tu uso wako kwa maji ya vuguvugu na sabuni, usiwe unapaka kitu chochote usoni, kama ni mafuta paka mwilini acha uso, pia usiwe unabinya binya na kutumbua, fanya kama huzijali zitaisha tu.

Kaonane na daktari wa ngozi, acha kutumia madawa hovyo ndio unazidi kuzalisha mafuta,
 
Kama kichwa cha habari kinavyo sema wakuu ninaomba msaada wa jinsi ya kujitibu chunusi na kuyaondoa madoa meusi yanayo sababishwa na hizo chunusi.

Nimejaribu kutumia sabuni mbalimbali lakini yamekuwa yakipungua kidogo alafu yanarudi.

Alafu kingine ngozi yangu hasa usoni imeanza kupoteza mn'garo wake na imekuwa na tabia ya kukakamaa na kujikunja hata nikipaka mafuta.

Licha ya kwamba ngozi yangu ni kavu lakini nilikuwa nikipaka mafuta ilikuwa ikipendeza sana, lakini siku hizi inaonekana inabadilika kila kukicha sijui ni kwanini.

Kuna mtu ameniambia wenda hali hiyo uso kupoteza mngaro wake na kukakama na kujikunja inatokana na sabuni ninazotumia ambazo haziendani na ngozi yangu kavu, je inaweza ikawa kweli?

Naombeni msaada ndugu zangu.
 
Mkuu tafuta hela, achana na mambo ya kujipodoa podoa
Unanijua mpaka uanze kunishauri kitafuta hela? Au umejuaje kama sina hela?
Mm nimeomba ushauri jinsi ya kukabiliana na mabadiliko ya ngozi yangu ww unaniambia nitafute hela kama ningeitaji msaada wa jinsi ya kutafuta ela ningeenda kwenye jukwaa la uchumi.
 
Acha kulia lia kama mtoto wa kike, pambana na hali yako
 
Matibabu ya chunusi ni mapana sana Mkuu sio rahisi kama unavyodhani, ni vyema ungeenda hospital watafute chanzo kwanza ndipo matibabu yaendelee.

Bagwell
 
Back
Top Bottom