Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Osha uso vizuri na maji ya baridi, then paka limau
 
usiteseke sana hayo ni mabadiliko ya mwili na ni kwa muda tu jaribu kufanya scrab mara moja kwa wiki lakini usipake kemikali usoni
NB;NUNUA YA KWAKO USIENDE SALUN KULE WATAKUSRUB NA YOUOTE TAFUTA YA NGOZI YAKO
 
Pole.................acha kutumia vyakula vyenye mafuta
 
Wadau mimi n kijana wa miaka 21 nahitaji nipate dawa ya kupunguza chunusi na ikiwezekana zipotee kabisa usoni

Hizo ni za kubalehe kijana ila zikizidi utafute dawa za kienyeji za kuharisha na kutapika nyongo kisha baada ya siku 2 unywe dawa za minyoo.
 
Habari zenh wana jf
Ninandugu yangu aisee namuonea huruma kweli yani sura imechafuka kwa chunusi na makovu hakuna tena
Hivi nawezaje kumsaidia kuusu product ya kutumia maana nmewah kumpeleka adi kwa specialist wa ngoz ila alisema ni puberty tu ila mbna wengine hawapo ivo
Nsaidieni tafadhali ushauri wa kitaalamu ni muhimu zaidi
 
wanajamvi mwenzenu nina tatizo la kuwa na vipele vidogo vidogo uson kwangu alafu vina kama kakiin keupe kanatoka kama ukibonya. Mfano puan ukikamua utaona vitu vyeupe vinatoka? Sasa sielew tatizo ni nini hapo
 
Kaka Jerrymsigwa habar ya wewe

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Poa kbs, mzima weye? Anko etu je? Unajua hizo kitu za puani zinaudhi sana, mtu umepiga neck tie yako safi white shirt afu hizo white stuff zinamea juu ya pua, zinaharibu the whole attire
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom